Mwenye CV ya Novatus Makunga atuwekee humu JF tuifahamu...

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Novatus Makunga ni nani?

Alipotoka, alipo sasa hasa katika Siasa za Tanzania....Yukoje huyu mtu?
 
Mkuu,watu wa aina hii ni vigumu kupata historia za maisha na elimu zao.
Unaweza kuhangaika kupata CV yake kwa miaka mitatu bila mafanikio.
Wengi wao huwa hawaeleweki wammesoma wapi.
 
Novatus Makunga ni nani?

Alipotoka, alipo sasa hasa katika Siasa za Tanzania....Yukoje huyu mtu?

Ni mwakilishi wa ITV kanda ya kaskazini. Wakati fulani nilisikia alikuwa akisoma OPEN University lakini ni habari ambazo hazijathibitishwa. Zaidi ya hayo SIJUI!
 
Novatus Makunga ni nani?

Alipotoka, alipo sasa hasa katika Siasa za Tanzania....Yukoje huyu mtu?


mwaka 1988 ndiyo alifika arusha na kazi yake ya kwanza ilikuwa kusimamia mizigo pale soko kuu la arusha baadaye mwaka 1990 aliajiliwa safari hoteli kama muhudumu mpaka hoteli hiyo ilipouzwa mwaka 2000,mwaka 2002 aligombea ukatibu mwenezi wa ccm mkoa wa arusha na akashinda alishika nafasi hiyo kwa kupindi cha miaka mitano hadi 2007 alipoamua kuachia kwa hiari yake na kujikita katika uhandishi wa habari kituo cha itv na radio one akiripoti kutoka arusha pia amewahi kuwa kiongozi ndani ya chama cha soko cha mkoa wa arusha kwa kuchaguliwa na pia katibu mkuu wa pallsons club wakati huo ikitisha
 
Muhimu ni ******: Hapo nepotism imefanya kazi wazee.

Hivi huyu hakuplay role fulani ya kujaribu kuchakachua matokeo ya uchaguzi wa Mbunge Arumeru mash.wakati ITV walipotangaza matokeo live. Mwenye kumbukumbu nzuri atukumbushe nini alikifanya
 
Makunga alikuwa anaripoti kinazi sana uchaguzi wa Arumeru mashariki!kumbe alikuwa ameahidiwa hako kaukuu ka wilaya?
 
Ni kilaza wa nguvu,a know wel by the time ni mtunza stoo pia wa AICC.hana IQ hata ya kuzaliwa kusuluhisha kesi.ana mdogo wake aitwae Ernest Makunga aliwahi kuwa mtandao wa Jk,alitegmea udc mwaka 2005 bt sasa ivi jk amempa asimamie miradi yake bagamoyo.
 
To much wana jf kila mtu akichaguliwa mnataka CV.
Utendaji wa mtu ndo utamuweka huyu kasoma haya maCV na kina Pro na MaDr yametusaidinia sioni kitu walichofanya so huyu Novatus Makunga apewe muda kama ataweza kuperfome akishindwa ndo tuje kumchimba hapa.CCM ni wajanja sana wametua wahandishi wa habari hasa huyu kanda ya kaskazini tena kuwa mkuu wa wilaya ya hai mission yake kubwa kwenye maoni ya katiba kumbukeni Hai ni karibu na Arumeru Arusha na Moshi mjini so jamaa atafanya kazi yake muda utakapo wadia kwa sasa tumuache apumue.

CV means nothing Utendaji wa mtu kwanza tukiweza kuondoa hivi vitu viwili hakika tutapata maendeleo
 
Pasco atakuwa kaponzwa na Lowasa ndo maana kaukosa ukuu wa wilaya

Ninavyofahamu Pasco si jina lake halisi, ni jina la JF tu. Huwezi jua na yeye ameukwaa ukuu wa Wilaya lakini bahati mbaya jina lake halisi hatulijui.

Au mkuu unalijua jina halisi la PASCO?

Tiba
 
IQ yake ni ndogo kama ya mrisho gambo..jk me nahsi anachanganyikiwa,haya bwana wacha mabest wa riz1 waule,manake gambo kapelekwa korogwe kusimamia mashamba ya riz1...2015 hawa watu watatukoma.
 
Namkunbuka wakati wa kuripoti yeye alikuwa anaripoti habari za mgombea wa ccm na Ufo saro chadema
 
Back
Top Bottom