Mwenye CV ya mkurugenzi mtendaji ya bodi ya mikopo

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Nasikitika na nitaendelea kusikitika kutoka na utendaji wa huyu mkurugenzi wa bodi ya mikopo kutokana na kauli yake aliyoitoa kwenye gazeti la Nipashe kusema kila serikali ina kipaumbele chake na kama serikali hii kipaumbele chake ni viwanda kwahiyo elimu sio kipaumbele.

Naomba ajibu kama alivyojibu Clouds fm wakati asubuhi walipomchana asubui kwamba ni mwoga anaogopa kusema ukweli

1. Serikali hii imejenga viwanda vingapi tangu iingie madarakani?

2. Yeye anafanya kazi idara ipi elimu au viwanda?

3. Yeye hajasomeshwa na serikali hadi anawafanyia hivi watoto wa wanaume wenzake?

4. Hivi tunarudi nyuma au tunakwenda mbele? Hivi kuna sababu gani ya wewe kukaa hapo? Kwanini usitumbuliwe ? Unampa mwanafunzi meals and accomodation sh 45000 si dharau kabisa bora hata ungeacha? Bora ungempa hiyo pesa kwenye ada boom lake ikaliacha?

Hivi nchi yenye asali na maziwa tutaendelea kuishi kwa kudanganywa mpaka lini?

Naomba CV yake kwani ana roho mbaya sana bora hata Nyatenga na inawezekana Nyatenga walikusingia tuu. Ndalichako Manyanya we tuharibie elimu yetu tuuu. Si unajua utakua waziri wa elimu maisha
 
Mliipenda wenyeweee....ndunduuuu..
Chaguo lenu mileleee.. ndunduuu..
Wasiopeda na wavimbe wapasukee..ndunduuu..
Wacha tuisome namba eee..
Gari bovu mbele kwa mbeleee....!!!!
 
Hii ni hatari SUA tena education ili nipate mkopo na bado ni yatima lkn hata jina kuonekana daaah sijui hatma yangu
 
Back
Top Bottom