Mwenye CV ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam aiweke hapa

Hata kama ni ngumbaru, tunamtaka huyo huyo nasi tutafanya naye kazi Darisalama ibadilike. Kipindupindu kiondoke kihamie kwingine, yaani mpaka kimejipangia siku na saa za kushambulia.
Tumefanya na Dr kumbe ilikuwa kulisha tumbo tu mpaka akawa ka kipipa. Tumechoka ma Profesa na ma dokta. Waongo wakuu. Angalizo kwa Mstahiki Meya, ukileta fyokofyoko TUNAKUTUMBUAAAAAAAA. CDM hainaga ujinga. Muulize ZZK, hakuna aliye juu ya chama
 
Mkuu ahsante sana maana perception za wenzangu zimekuwa tafauti.

Dar ni tegemeo kwa uchumi wa nchi hata kama Meya atakuwa wa chama gani lazima upstairs awe vizuri siyo et hivyo hivyo regardless of his sound mind

Tatizo humu siku hizi U-chadema na U-ccm umewajaa mno hadi inaboa. Hawajui kuwa wengine hayo mambo ya machama hatuna time nayo.
 
Natamani pia kuijua cv yake..afu kuna watu hawakupaswa kuwemo sema kwa kuwa ni forum ya kila mtu na wan simu zinazozimwa mwezi wa sita basi tabu..

Umeombwa CV kama hauna una ignore
 
Hata kama ni ngumbaru, tunamtaka huyo huyo nasi tutafanya naye kazi Darisalama ibadilike. Kipindupindu kiondoke kihamie kwingine, yaani mpaka kimejipangia siku na saa za kushambulia.
Tumefanya na Dr kumbe ilikuwa kulisha tumbo tu mpaka akawa ka kipipa. Tumechoka ma Profesa na ma dokta. Waongo wakuu. Angalizo kwa Mstahiki Meya, ukileta fyokofyoko TUNAKUTUMBUAAAAAAAA. CDM hainaga ujinga. Muulize ZZK, hakuna aliye juu ya chama
Nini majukumu ya Meya
 
Meya wa jiji alipaswa kuwa mwenye Elimu na uelewa mpana ili kufanya DSM kushindana ama kushirikiana na majiji makuu duniani. Hata hivyo yuko chini ya wazoefu ajitahidi kutumia wataalam na kusimamia watendaji atafanikiwa
Ni hakika Mkuu huwezi ukawa na kiongozi mwenye elimu ya kubanika na kuanua halafu utegemee maendeleo ya Jiji/nchi kwa ujumla.

Akitegemea wataalamu haitoshi watamwingiza mkenge maana document zitakuwa anaona mauzauza tu
 
hizi CV zetu hizi zingekuwa ndiyo kila kitu hizi......

wengine hapa tuna CV zetu zina hadi PhD ambazo tumezipata kwa lugha ile! lakini tukienda sijui UN au AU au EAC au SADC au wapi huko sijui... ile ile lugha iliyotuwezeah kupata PhD ni kama mama/baba mkwe!

sijui ni magumashi hizi CV zetu hizi!
 
Hata kama ni ngumbaru, tunamtaka huyo huyo nasi tutafanya naye kazi Darisalama ibadilike. Kipindupindu kiondoke kihamie kwingine, yaani mpaka kimejipangia siku na saa za kushambulia.
Tumefanya na Dr kumbe ilikuwa kulisha tumbo tu mpaka akawa ka kipipa. Tumechoka ma Profesa na ma dokta. Waongo wakuu. Angalizo kwa Mstahiki Meya, ukileta fyokofyoko TUNAKUTUMBUAAAAAAAA. CDM hainaga ujinga. Muulize ZZK, hakuna aliye juu ya chama
hii CV mbona imekuwa kigugumizi? msijifanye majuha wakati muna akili timamu.
 
hizi CV zetu hizi zingekuwa ndiyo kila kitu hizi......

wengine hapa tuna CV zetu zina hadi PhD ambazo tumezipata kwa lugha ile! lakini tukienda sijui UN au AU au EAC au SADC au wapi huko sijui... ile ile lugha iliyotuwezeah kupata PhD ni kama mama/baba mkwe!

sijui ni magumashi hizi CV zetu hizi!
Huu utakuwa ubishi na si hoja iliyoko mezani mkuu
 
Back
Top Bottom