Mwenye clip ya Mkuu wa Mkoa/Gavana wa Arusha akiongea

bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,033
2,000
Huyo gavana sijui anaongeaje hivi ndiyo sauti yake au anafanya makusudi maana anaongea Kama anahisi kinya. Wekeni clip yake hapa ya sauti Kama ipo karibu.

Mada hii si ya chama kwahio vijana wa Lumumba msilete mihemko na mizuka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom