Mwenye Bekari mmoja nchini Uturuki kaweka mikate nje ale mtu kwa mwenye kutaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye Bekari mmoja nchini Uturuki kaweka mikate nje ale mtu kwa mwenye kutaka

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 15, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  REVIVE A SUNNAH ⇨ "GIVE CHARITY IN MANY WAYS" ✦

  Has not Allah made for you ways to give in charity?

  "The owner of a bakery in Turkey put bread out of his bakery and put a sign saying: If you are needy, take for free.."
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Huku marekani ukitengeneza excess ya kitu ambacho kipo ktk high demand, unapeleka katika sehemu iitwayo Kitchen support. Kitchen support ni kama hoteli ambayo watu hula na kunywa bure mara tatu kwa week! halafu kama umeisha kula, unapewa mikate na vyakula vya kopo ukale nyumbani bure.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna zile ngoma (zinaitwa vidaku?) na ile wanapiga saa ya kuimba kaswida? Wanakosea?
  Halafu kugawa mikate kwa wahitaji inakuwaje ushirikina? Ama vile hajapeleka msikitini?
   
 5. G

  Gene Senior Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi taarabu asili yake ni wapi vile
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Kugawa mikate kajitolea kuwapa walala hoi Masikini mkuu King'asti Afrika kwetu hakuna kitu kama hicho ni Uturuki peke yake hata ulaya hakuna kitu kama hicho muislam mmoja Tajiri kaamuwa kufanya hivyo mwenye njaa achukuwe mkate anaotaka. Hiyo ni Sadaka yake.
   
 7. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Eti kugawa mikate ushirikina???? CNN wakiesema 60% ya watanzania washirikina watu wanakuja juu ifike wakati tubadilike tubadilishe na aina ya thinking tunayoitumia tuviangalie vitu in a more positive way " kama vipi soma SIGNATURE yangu "
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nchi itakosaje kuamini ushirikina wakati mtawala wao anaongozwa kutawala kwa majini!!
   
 9. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo sahihi inasababisha watu kuwa tegemezi. Anafanya hivyo labda huko hamna wahitaji wengi. Je ingekuwa Mbagala Kizuiani angeweka watu wachukue bure hivyo?
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naona dufu hapo kwenye picha vipi kulihusu maana kwenye maulidi hudundwa sana.hizi dini zao za kitumwa hizi zitatuua hizi.
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu philipo kidwanga hivyo vyotekatka sheria ya dini Haviruhusiwe tumejitungia sisi wenyewe tu ni vitu vya kizushi tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mwenyezi Mungu, amjaalie na aendelee kusaidia viumbe vyake. Barkah zamsubiri akhera.
   
 13. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  MziziMkavu wapi hiyo na mimi nipite nipate EKIMEKI ya bure! Taksim/Aksaray au koja Mustafapasha?
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu TONGONI ina maanisha upo istanbul Turkey wewe? huoni aibu kwenda kuchukuwa mkate wa bure mtu mweusi? ahhhhhhhhhhhh ningelikuwepo UTuruki ningekutafutia ni wapi hapo kwani wewe upo istanbul sehemu gani? kuna rafiki yangu yupo hapo istanbul nipe namba yako ya simu kwa njia ya Pm. nimpe rafiki yangu akupigie simu..............................
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [h=2]73. SURAT AL-MUZZAMMIL AYA YA 20[/h]Na mkopesheni Mwenyezi Mungu mkopo mwema. Na kheri yoyote mnayo itanguliza kwa ajili ya nafsi zenu mtaikuta kwa Mwenyezi Mungu, imekuwa bora zaidi, na ina thawabu kubwa sana. Na mtakeni msamaha Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.


  Huyu Mwenye Bekary ya Mikate ana mkopesha Mwenyeezi Mungu sijuwi Mwenyeezi Mungu atamlipa kitu gani huyu Mwenye Bekary zaidi ya Pepo yake Mwenyeezi Mungu atakapo kaa milele......... Natamani Laiti ningelikuwa mimi Tajri ningelifanya kitu kama hicho au zaidi ya hicho Mwenyeezi Mungu atuajalie tuwe watu wema ameen.
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  At least Huyu anajua mungu hapatikani kwa kuxhoma makanisa
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Wanaochoma Makanisa ni Watoto wa kihuni ndani ya dini ya kiislam muislam wa kweli hawezi kuchoma nyumba ya ibada za waumini wa dini ingine wanaochoma ni wahuni wanaotumiwa kuchafuwa hali ya utulivu ulipo nchini mwetu mkuu Janjaweed
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Huyu Mzee amefariki huku akiinuwa mikono juu kumuomba Allah ndani ya Msikiti Mtakatifu wa Maka wakati wa ibada ya Hijja Mungu amlaze pema peponi ameen.

  This old man died on hajj while his hands are Lifted in dua!
  What a beautiful way to leave this world!

  May Allah make our last deeds our best deeds and take us in a similar way or Evan better, Ameen!
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Thank you Mkuu

  Thank you!!
   
Loading...