Mwenkiti wa chadema aliyeuza jimbo...........

bojuka

Senior Member
Sep 9, 2010
128
1
Jamani wana jf tunaomba mwenye taarifa ya mwenyekiti wa chadema iringa mjini ndg kapwani aliyeuza jimbo kwa lukuvi azianike kwani kuna tetesi kuwa amepalalyize baada ya kusikia chadema imechukua jimbo la iringa mjini.
 
Mwenyekiti wa chadema iringa mjini ni peter msigwa ambaye kwa sasa ni mbunge,
what are you talking about ??
 
Back
Top Bottom