Jamani wana jf tunaomba mwenye taarifa ya mwenyekiti wa chadema iringa mjini ndg kapwani aliyeuza jimbo kwa lukuvi azianike kwani kuna tetesi kuwa amepalalyize baada ya kusikia chadema imechukua jimbo la iringa mjini.