Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,155
Taarifa hii inapatikana kwenye gazeti la nipashe.
Kwamba miradi hiyo ambayo idadi yake iko saba ni pamoja na
1)KUZINDUA SHULE YA SEKONDARI PANDE DARAJANI.
2)KUWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE MRADI WA MAJI KIJIJI CHA UPARE.
3)KUKAGUA MRADI WA UFUGAJI KUKU KIJIJI CHA MUUNGANO.
4)KUWEKA JIWE LA MSINGI OFISI YA KIJIJI CHA KWEMKABALA .
5)KUKAGUA MRADI WA WANAWAKE KIJIJI CHA MLINGANO .
6)KUKAGUA MRADI WA VIJANA WAUZA MITUMBA KATA YA TANGANYIKA .
7)KUKAGUA MRADI WA NYUMBA BINAFSI YA KULALA WAGENI ( GUEST HOUSE ) KATA YA GENGE .
Taarifa hii ilisomwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza , Esterina Kilasi , ambapo kauli mbiu ya Mwaka huu ni " VIJANA NI NGUVU KAZI YA TAIFA , WASHIRIKISHWE NA KUWEZESHWA "
MyTake - hivi jamani kuna mradi wa bil 2 hapo kweli ? Hivi kwanini nchi hii imejaa uongo kuanzia asubuhi mpaka jioni ? Kila mwaka ni kuweka mawe ya msingi , wanalenga kumdanganya nani ?