Mwenge wa Uhuru wapata ajali Sikonge Singida

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,335
1,225
Ni kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi punde,

Cha ajabu waandishi wamenyang'anywa vifaa vya kazi na kuzuiwa kuripoti ajali hii,

Taarifa zaidi, Watu wanne (4) Wamejeruhiwa.

Source: ITV

My Take: Wakuu hebu tujiulize sababu hasa ya waandishi kuzuiwa kupiga picha tukio hili la muhimu kujulikana kwa watanzania wote, maana ni mwenge wa uhuru wa Watanzania wote,

NISEME MWENGE WA UHURU BILA UHURU WA HABARI!!

Tanzania tu ndo hutokea haya

==========================
Askari polisi wanne wamejeruhiwa baada ya Msafara wa mbio za mwenge wa Uhuru kupata ajali katika Wilaya ya Sikonge Ukiwa njiani kuelekea Singida.

Waandishi wa Habari wamenyang'anywa Vifaa vyao na Kiongozi wa mbio hizo ili wasitoe habari.

Chanzo: Radio One Streo
 
Askari polisi wanne wamejeruhiwa baada ya Msafara wa mbio za mwenge wa Uhuru kupata ajali katika Wilaya ya Sikonge Ukiwa njiani kuelekea Singida.

Waandishi wa Habari wamenyang'anywa Vifaa vyao na Kiongozi wa mbio hizo ili wasitoe habari.

Chanzo: Radio One Streo
 
madhambi yanayotendeka kwenye MIKESHA YA MWENGE yataendelea KUUPIGA MTAMA MWENGE HUO HADI UBOMOKE , ASANTE MUNGU .
 
Hakuna tukio kama hilo mi nipo na mwenge na tunaendelea kama kwaida acheni unafiki alaaaa!!!
 
CCM bwana kwa kung'anga'nia mambo ya ki.jinga! Hebu ng'ang'anie pia, SERIKALI MOJA NA KUHAMIA DODOMA. Achaneni na upuuzi wa MBIO ZA MWENGE WA UHURU!
 
Huwa wananifurahisha kwamba tangu siku unawashwa mwenge huwa hauzimwi mpaka siku rasmi ya kuzima. Kimsingi huwa wanauzima kila wanapotoka nje ya miji/vijiji
 
ila ule moto umepoteza mvuto kabisa sku hizi, kwa tusiachane nao????????????
 
Lema yupo singida pia Leo sorry nilidhani ulisema ni milipuko
Wewe jiangalie sana, Lema ni mume wa mtu na hataki kuwa na mchepuko. Akina V.Kamata mpo wengi mtaishia kuwa michepuko tu. Wanaume wa kweli tumeshtuka tunabaki njia kuu. Limwenge lenu laana tupu.
 
Back
Top Bottom