Mwenge wa Uhuru unafika Zanzibar?

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Wakuu habari zenu popote pale mlipo,lama kichwa cha habari kinavyosema hapo,leo ni siku ya kuzima mwenge wa uhuru,tukio linaloendana na kumbukizi ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere.

Moja ya kitu ambacho pengine labda sikijuii ni kuhusu mahusiano ya Mwenge huu na visiwa vya Znz,naomba kujuzwa kama mwenge huu unamulika hadi Znz kwani sijawahi sikia ukikimbizwa znz.

Na kama haujawai kukimbizwa ni halali kwa Rais wa Znz Dk Shein kuja bara kuuzima ?
 
Huko kwake alikataliwa na wananchi wake kwa kutokumpa kura ktk uchaguzi wa 25/10/2015

Sasa kaambiwa na mwenzake aje huku ingalau ajaribu kukutana na umati wa watoto na watumishi wa umma waliolazimishwa kuhudhuria kujenga picha ya kulazimisha kukubalika ili naye apate faraja ya moyo ingalau ya masaa kadhaa tu!!

Kiufupi, tumetembelewa na mgeni. Huyu kwa vyovyote hana uhusiano wowote na hii koroboi
 
Kwa hii hatua aliyochukuwa Mh.Rais ya kuokoa mamilioni ya pesa huko Simiyu.....ninahisi sasa Mwenge wetu tuliouzoea unapelekwa Jumba la Makumbusho.Kama itakuwa hivyo tutakukumbuka saana Mwenge.Wengi tulifaidika na uhamasishaji wake na wengine walinufaika na mafuta ya mwenge.
 
Wakuu habari zenu popote pale mlipo,lama kichwa cha habari kinavyosema hapo,leo ni siku ya kuzima mwenge wa uhuru,tukio linaloendana na kumbukizi ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere.

Moja ya kitu ambacho pengine labda sikijuii ni kuhusu mahusiano ya Mwenge huu na visiwa vya Znz,naomba kujuzwa kama mwenge huu unamulika hadi Znz kwani sijawahi sikia ukikimbizwa znz.

Na kama haujawai kukimbizwa ni halali kwa Rais wa Znz Dk Shein kuja bara kuuzima ?

acha mazoea wewe
 
serikali ikibana matumizi, inabidi ijulikane pesa za ziada zinaenda kutumiwa sehemu gani na lengo gani...

serikali ikibana matumizi mara nyingi wanao umia ni raia na wafanyakazi kwakuwa hiyo pesa iliyobanwa itashindwa kuzunguka ndani ya nchi au kutimiza mahitaji...

pole watz, kwa kushangiria miradi mikubwa isiyo msaidia mtz mmoja mmoja...
 
Kwani ule mwenge wa uhuru ni wa uhuru wa Tanzania Bara au Zanzibar???

Muunganooo
 
Aiseee Mimi mwenyew sijui maana sijawah kusikia kama mwenge umepanda boti kuelekea Zanzibar
 
Aiseee Mimi mwenyew sijui maana sijawah kusikia kama mwenge umepanda boti kuelekea Zanzibar
 
Unafika,... Kwa ruti ya tanga airport. Unaondokea tanga na unarudia tanga..... Hili dubwana lizimwe moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom