Mwenge ukiwashwa mbele ya wafanyakazi wa serikali na wanafunzi tu, maana yake nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenge ukiwashwa mbele ya wafanyakazi wa serikali na wanafunzi tu, maana yake nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by frema120, May 11, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nimeshangazwa sana kuona mwenge ukimwashwa na waziri mkuu leo mbeya, hukuwahudhuriaji wa sherehe hizo wakiwa wanafunzi na wafanyakazi wa serikali, nini tafsili yake wakuu..

  SOURCE; mimi mwenyewe plus itv newz
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wa primary, polisi na wafanyakazi wa sirikali
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ndo watu ambao ni rahisi kuwalazimisha
  Otherwise kwa watu wengine serikali haina maana
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni wananchi wamechoka hichi chama jamani, unga 1200 unategemea nini.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Yani mtu mwenye akili timamu unatalajia ahudhurie kusanyiko la kukimbiza moto? no way.
   
 6. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ndio kusema watu hawajui umhimu wa mwenge au?
   
 7. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nililtegemea hili kwa jiji ka la mbeya,wananchi wamechoaka hawahitaji tena porojo za CCM
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mimi nilisha usahau hata unavyofafana naona magari yakiwa speed na polisi wakiwa wametoa silaha za kivita sijui huwa wanaimanisha nini maana hata madini yetu hayalindwi namna hii..
   
 9. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  He! kumbe mwenge wa nyerere bado upo?. Kila sehemu unapolala Umehusika sana kwenye kusambaza VVU.
   
 10. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa magamba vp bora wangeuleta Zenji kuliko Mbeya hawakubaliki wanatafuta kupigwa mawe na u***ge wao.
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimeshangaa sana kwa hali niliyo ikuta pale Sokoine nilikuwa na jamaa mmoja aliniuliza hivi kwa nini wasitumie utaratibu wao wa siku zote wa kusafisha watu toka maeneo mbalimbali ili waje wawashe mwenge wetu ....nilikosa jibu
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hakuna makitu nnayo yachukia km hayo sijui mibio ya Mwenge!! wala sioni tija yake, CCM walitutesa sana hasa wakati niko shule ya msingi, mnakwenda huko uwanjani mnatoka shuleni kwenu saa tatu asubuhi, mnaandamana na bendi uwanja upo km 4 toka shuleni kwenu. mkifika uwanjani hakuna kivuli jua ni kali, hakuna maji ya kunywa hakuna chakula, enzi zetu wazazi walikuwa hawakupi hata shilingi kwenda nayo shule mnakaa na kiu na njaa tupu, mnatafuta mpaka mnapata bomba linalotoa maji ndo mnakunywa yale maji si salama. Mgeni rasmi atafika saa nane mchana anawakuta mmeshanyong'onyea kwa njaa na kiu. akiingia mgeni rasmi basi mageti yote yanafungwa hakuna kusepa! Dah kweli CCM mlituweza, nikikumbuka huu ujinga sina hamu!!
   
 13. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  frema hebu tusaidie, umuhimu wa mwenge ni upi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Duh! mkuu umenikumbusha mbali sana na umeamusha hasira zangu upya dhidi ya CCM...Kesho pana mnada kijijini kwetu nitakuwa pale kumwaga elimu ya uraia kama sina akili nzuri vile.
   
 15. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni uwendawazimu kwani "Kukimbiza moto ni sawa na kufanya ibada za kichawi!"
   
 16. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhani hata hayo makundi uliyoyakuta yalilazimishwa kwenda kuhudhuria sherehe hizo na zaidi ya hapo ingeweza kuwa aibu. Leo hii watu wanajiuliza Mwenge umekuwa na faida gani kwa watz? Cha msingi ambacho huwa nakiona ni ufunguzi wa miradi kitu ambacho chaweza fanywa na viongozi wa eneo husika au kwa kumualika mtu au kiongozi wamtakaye kufanya ufunguzi huo. Mwenge unakula mamilioni ya shilingi za walipishwa kodi pesa ambazo zingaliweza kutumika kwa manufaa mengine yenye kuonyesha matokeo chanya kwa wananchi kama vile mashule na maabara zake, hospitali na madaktari wa kutosha, madawa na vifaa vingine muhimu. Mwisho wa siku yawapasa waserikali wakae chini na ku
  ona namna ya enzi huu mwenge kwa gharama zinazoendana na uchumi wetu leo hii
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Ukiuliza Hasara za kukimbiza huo moto utaambiwa, ila usiulize umuhimu, ni afadhali hata uulize umuhimu wa Binadamu kujamba utajibiwa na kuridhika.
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,917
  Likes Received: 2,345
  Trophy Points: 280
  Heri ya hao wanaomkumbuka Nyerere na kumuenzi kuliko wale wa Arusha wakimsikiliza jamaa Le Totoz aliyevaa nepi akilia lia kuwa kila mtu na lwake
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Kukimbiza moto na kueneza virusi vya ukimwi na kutumia pesa za walipa kodi kwa Mambo ya kipumbavu huko ndio kumuenzi Nyerere!!??....
   
 20. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,917
  Likes Received: 2,345
  Trophy Points: 280
  Ze totoz mko wengi, usipokawekewa luku hako kaluwiluwi kako basi hutaelewa mpumbavu ni nani
   
Loading...