Mwenge tunanua nyama kwenye mazingara machafu

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
6,488
3,688
Tunamwomba Wazuri wa afya ahamishe bucha zote zinazouza nyama ya ngombe na mbuzi maeneo ya mwenge sokoni kwa sababu zifuatazo:
1.Bucha zimezungukwa na maji ya kinyesi cha binadamu.
2.Mteja ni lazima uruke mtaro wa maji ya kinyesi ndio uingie ndani ya bucha kupata huduma.

Waziri mwenye dhamana ya afya watanzania tunakuomba uyafunge haya maduka haraka iwezekanavyo ili kulinda afya ya mlaji
 
kanunue makongo
 
Inasikitisha kwamba watu hawajali usafi sehemu zao za biashara, yaani hata kulalamika kama ni tatizo la mifereji ili pawe pasafi. Wengi wanajali pesa tu, wanahitaji elimu na kupigwa faini kama ni makosa yao kutokana na kusafisha maeneo yao.
 
Back
Top Bottom