Mwenge - Morocco: Stendi za Daladala 6 na Traffic lights maeneo 10 kama mapambo, Panachosha lakini salama

Bora wajenge Mfugale za kutosha kupunguza msongamano kuliko Taa.
Unaweza kutudokeza bei za Taa?
Sijaelewa ila nachojua ile kuweka taa ina involve gharama ambazo kwa namna moja ama nyingine zinamnufaisha anayepewa kazi za kuziweka kwahio yanaandaliwa mazingira watu waweke taa tu!
 
Hizo Taa zinawekwa kwa gharama kubwa sana,na bado hazitatui tatizo la msongamano.
Ushauri wangu wajenge daraja (kama ya Mfugale) magari yaunge moja kwa moja kuzuia msongamano.

N.B.Kwakuwa Mfugale na Mwendazake hawapo,bei za daraja zitapungua sana,wahusika wakiwa na nia njema.
 
Kulikua Hamna haja kabisa ya taa zote hizo na kwa kweli hii imekua nchi ya Jenga Bomoa Jenga Bomoa.

Barabara kama hiyo Mwenge Morocco ingewekwa njia 8 kabisa Ili angalau kwa Muda iweze kutumika sasa Bado Wanajenga kwa style ile ile Njia 4 wakati wanajua mji umekua sana huu.
Katikati inapita BRT phase 4
 
Hizo Taa zinawekwa kwa gharama kubwa sana,na bado hazitatui tatizo la msongamano.
Ushauri wangu wajenge daraja (kama ya Mfugale) magari yaunge moja kwa moja kuzuia msongamano.

N.B.Kwakuwa Mfugale na Mwendazake hawapo,bei za daraja zitapungua sana,wahusika wakiwa na nia njema.
Heheheh tegemea kipigo mara 10 zaidi maana kama Mkurugenzi anaitwa Tenga kutokea panapofuka Moshi wa baridi😅😅😅 Tanroad imeangukia kwa wenyewe sasa!

Flyovers na kuondoa mataa yasio na ulazima ndio suluhu ya msingi, sometimes naona wangeweka rasta ingesaidia sana kuliko mataa! Karibu na Junction wachonge rasta au matuta sharp ili watu wapunguze speed! Hamna maana unaweka taa na askari anakuja na ki LED Wand chake kuzuia magari
 
Kulikua Hamna haja kabisa ya taa zote hizo na kwa kweli hii imekua nchi ya Jenga Bomoa Jenga Bomoa.

Barabara kama hiyo Mwenge Morocco ingewekwa njia 8 kabisa Ili angalau kwa Muda iweze kutumika sasa Bado Wanajenga kwa style ile ile Njia 4 wakati wanajua mji umekua sana huu.
Mkuu mwisho kuffika hapo lini..maana mpaka sada hv kuna upanuzi mkubwa sana wa hiyo barabara..na inajengwa kwa kiwango ambacho sijawahi kukiona hapa ncchini..maana unaweza kuweka kikombe cha chai kwenye dashboard na kisidondoke ukiwa speed 120.
 
Ina maana wameongeza taa tena hawa watu ni wapuuzi sana aisee😅😅😅! Mataa mengine hayana maana wangeacha za Bamaga tu na za Sayansi zile junction kama ya Victoria sio muhimu sana sababu kuna matuta
Mkuu kwa upana ule wa barabara...na uwepo wa mwendokasi katikati unahisi watu wangevukaje hizo road. Labda wangeweka overpass
 
Yeah overpass ndio suluhu tena simple kama ya buguruni ile watu wanavuka zao juu chap sio mbwembwe kama za Morroco zile au Ubungo ni uharibifu wa hela
 
Heheheh tegemea kipigo mara 10 zaidi maana kama Mkurugenzi anaitwa Tenga kutokea panapofuka Moshi wa baridi😅😅😅 Tanroad imeangukia kwa wenyewe sasa!

Flyovers na kuondoa mataa yasio na ulazima ndio suluhu ya msingi, sometimes naona wangeweka rasta ingesaidia sana kuliko mataa! Karibu na Junction wachonge rasta au matuta sharp ili watu wapunguze speed! Hamna maana unaweka taa na askari anakuja na ki LED Wand chake kuzuia magari
Ukiweka rasta ndugu zako wa STL na STK wanafuta hawapunguzi mwendo wala nini..
 
Yeah overpass ndio suluhu tena simple kama ya buguruni ile watu wanavuka zao juu chap sio mbwembwe kama za Morroco zile au Ubungo ni uharibifu wa hela
Kwa tabia zetu wabongo hizo overpass kuzitumia ni ngumu,mambo ya kupanda hatuyafagilii kiviile.....sie tunapenda mitelemko hivyo wangejenga down pass ,kwanza gharama ni nafuu na watumiaji Wangefurahia.Ikiwa Kigoma halamashauri waliweza hapa Dar haishindikani
 
Ukitokea Mwenge kuelekea Morocco

Traffic lights
1. Mwenge
2. Njia panda ya ITV
3. Bamaga
4. Sayansi
5. Millenium tower
6. Makumbusho
7. Njia panda ya Mwananyamala
8. Njia panda ya Kairuki hospital
9. Njia panda ya Chato ( Vodacom)
10. Morocco

Vituo vya Daladala
1. ITV
2. Bamaga
3. Sayansi
4. Makumbusho
5. Victoria
6 Vodacom

Nawasalimu kwa jina la JMT.
Vodacom kuna kitu? Kim3anza lini? Mwezi huu labda?
 
Kwa tabia zetu wabongo hizo overpass kuzitumia ni ngumu,mambo ya kupanda hatuyafagilii kiviile.....sie tunapenda mitelemko hivyo wangejenga down pass ,kwanza gharama ni nafuu na watumiaji Wangefurahia.Ikiwa Kigoma halamashauri waliweza hapa Dar haishindikani
Hahahaha ukweka waya kama Kijazi pale overpass haikwepeki! Watu watapita tu juu
 
Bila traffic lights hao wanaotoka njia za pembeni wataingiaje barabara kuu? Think outside the box.
 
Back
Top Bottom