Mwenge: Majambazi wawapora mzigo mzito (Mamillioni) Wachina kwenye foleni...

yaani wangewauwa kabisa tuwapunguze wanatutesa sana wanatunynya wazawa na elimu zetu wanatudhalilisha sana da.
mmmh!!naona una hasira nao ile mbaya!!lkn maandiko yanasema akikupiga shavu la kushoto geuza na la kulia amalizie lkn usimlipize!!!
 
mmmh!!naona una hasira nao ile mbaya!!lkn maandiko yanasema akikupiga shavu la kushoto geuza na la kulia amalizie lkn usimlipize!!!
when you come to humanity point of view its not applied but in biblical way its aplied
 
Mbona wengi mnaochangia huu uzi pamoja na mtoa mada mnaonekana kama vile mmefurahia watu kukwapua hayo mamilioni ya kichina

wamezidi nao,kila kitu wao tu. Kwanza hata polis hawaendi hao kwa kuwa wenyewe hapa nchini wanaishi kimagumashi.
 
Hao si vijana wa kazi ni majambazi. Tusishabikie upuuzi huu maana hili laweza kutokea kwako pia. Majambazi hayana ndugu. Usione leo yamevamia wachina na wewe kwa sababu huwapendi unafurahia, je kesho wakikuvamia wewe utafurahia? Pamoja na matatizo ya wachina hili si jambo la kufurahia!!
Vijana wa kazi wakiwa juu ya boda boda na silaha za kivita wavamia Noah ya wachina, na kuitoboa toboa na risasi kidogo kisha kunyakua mamillion ya wachina hao na kutokomea nayo kusiko julikana na kuwaacha wachina wamepagawa!

Wachina waonekana wakihaha na kuchanganyikiwa. Yote hayo yamejiri mwenge jioni hii.

Ukisafirisha hela usimnong'oneze hata mkeo, watu washajichokea maisha mda huu, wanakwapua chochote kilicho mbele yao.
 
Hao si vijana wa kazi ni majambazi. Tusishabikie upuuzi huu maana hili laweza kutokea kwako pia. Majambazi hayana ndugu. Usione leo yamevamia wachina na wewe kwa sababu huwapendi unafurahia, je kesho wakikuvamia wewe utafurahia? Pamoja na matatizo ya wachina hili si jambo la kufurahia!!

Hao wachina wanaoiba rasilimali zako kila siku na ndio wanaosababisha ujambazi kwani wanajazana na kuchukua ajira zote
 
((((((vijana wa kazi!!!!!!!))))hii ibara ni kama inashabikia tukio hilo!
 
Back
Top Bottom