Mwenge flyover ni mwisho wa matatizo. Ujenzi wake unaanza lini?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,023
40,693
Video kama hizi zilikuwa zinaleta hamasa kubwa sana na ikiketw fahari kuwa mTanzania , kwa sasa nchi imepoa sana. Anyway, ujenzi wa flyover ya Mwenge unaanza lini, maana hali ni mbaya sana, hapafai!

 
Mwenge waweke "fly over" au "round about" na siyo "daraja" kama yale ya Kijazi-Ubungo na Mfugale-Tazara ambayo yameongeza matatizo ya foleni na mafuriko
 
Zinaleta hamasa Halafu linaenda kuchota hela za wastaafu likija linasema tunatumia pesa za ndaaaani,donor kantree.Wastaafu wako hoi.

Au Nasema uongo ndg zanguuuuuu?
 
mji utanuliwe maeneo mengine yawe busy watu waache kwenda sehemu moja asubuhi na kurudi tena sehemu nyingine jioni...

express way from bagamoyo to posta ijengwe na kuwe na speed buses... pale just before Lugalo ijengwe Parking kuubwa balaa ya magari madogo... na fee ya kupaki magari madogo katikati ya mji iwe kubwa...
 
Back
Top Bottom