Mwenendo wa Uchaguzi Mkuu 2015 - Andrew Nyerere azungumza

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,008
2,429
Kuhusu huu uchaguzi wengi wametoa maoni isipokuwa mimi. Uchaguzi huyu unaonyesha ishara ya kuwa tofauti kidogo na uchaguzi uliopita.Ukawa wanaleta ushindani mkubwa. Makada wengi wamekihama chama cha CCM na kujiunga na Chadema. Lakini Chadema. Lakini Chadema pia imehamwa na wanachama wake. Sasa yupo Lowassa ambaye anaweza kuwa rais
 
Makongoro alishaharibu sifa za ukoo wa Nyerere. Wote sasa mnaonekana kama vilaza tu. Zimebaki hotuba za Mwalimu Nyerere tu.
Hi my dear Mamndenyi ? Long time jamani. Nimekuwa out of JF muda sana. Ninafurahi nimerudi nimekuta umerudi kundini. You know what I mead darling.
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu huyu uchaguzi wengi wametoa maoni isipokuwa mimi. Uchaguzi huyu unaonyeshaa ishara ya kuwa tofauti kidogo na uchaguzi uliopita.Ukawa wanaleta ushindsni mkubwa. Makada wengi wamekihama chama cha CCMm na kujiunga na Chadema. Lakini Chadema. Lakini Chadema pia imehamwa na wanachams wake. Sasa yupo Lowassa ambaye anaweza kuwa rais

sasa ndo umeandika upuuzi gani wewe? au nawe mkenya tena mungiki?
 
Makongoro alishaharibu sifa za ukoo wa Nyerere. Wote sasa mnaonekana kama vilaza tu. Zimebaki hotuba za Mwalimu Nyerere tu.

Kwa ubongo wako ulioota magamba,hauwezi kumwelewa Andrew hadi mauti yako.Huyu jamaa ni genius.
 
Last edited by a moderator:
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom