Elections 2010 Mwenendo wa matangazo ya TV kuhusu Uchaguzi Mkuu 2010

Je, kati ya vituo hivi ni kipi kimeipendelea CCM katika matangazo ya Uchaguzi Mkuu?


  • Total voters
    31

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Binafsi nimeona kwamba vituo vingi vya TV vimekuwa vikitangaza kwa upendeleo, kiasi cha kuifanyia kampeni CCM.

Je, mnadhani vituo hivi vimekuwa vikiipendelea CCM kwenye matangazo yake?
 
Swali gumu maana vyote vimependelea CCM. Labda swali liwe ni chombo gani KIMEONGOZA katika kuipendelea CCM?
 
Nimeshangazwa sana,all of a sudden hata ITV wametubetray,RAI na Magazeti ya ipp.Nisingeshangaa kwa TBC,ITV!!!! damn it.
 
Vituo vyote vinaongoza kuipendelea CCM, sijaona hata kiomoja kilicho fair.
 
Ni vyote wakuu!At least ITV inashika nafasi ya mwisho kwa upendeleo.kwenye kipimo cha 1-10 inachukua namba 6.
 
Mengine ni matangazo ya biashara CCM wana hela mkumbuke...so ITV wanapiga tu na kukusanya mshiko coz wapo kibiashara zaidi ...feel it fish
 
TBC1 haswa repoter wa msafara wa Dk slaa kwenye kampeni alikua akipotezea picha kamili ya uwasilia mkusanyiko wa maudhurio ya watu.alikua anaonyesha sehemu hisiyo kuwa na watu wengi.
 
Hapo ungeassign weight katika kila choice. Yaani Very strong, strong etc ingesaidia.
 
Back
Top Bottom