Mwendokasi ni JIPU?

Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
136
Leo jioni nikiwa kwenye mwendokasi kuelekea kimara,nilisikia watu wazima kama wanne wakilalamikia huduma ya BRT(mwendokasi). Hoja za hawa watu ziko hivi:-

1. Nauli ya mwendokasi hadi Mbezi ni TShs800. Unalipa TShs650 hadi Kimara, then unalipa TShs150 hadi mbezi. Tozo hili ni kwa wale wanaotumia card maalumu za BRT. Cha kushangaza BRT inawakata TShs650 hadi kimara, then TShs400 hadi mbezi.

2. Hoja ya pili ni kwamba ukitaka kujua salio lazima uende kwenye ofisi ya BRT waangalie/read kwa computer zao kisha wakupe risiti ya balance yako. Kwanini mashine ya kuingilia isiwe inaonesha balance wakati unapoingia na wakati unapotoka kituoni?

Kwa uelewa wangu, sikuweza kuthibitisha hoja yao ya kwanza, kwasababu sijawahi kusafiri hadi mbezi.

Hoja yao ya pili ina mashiko, kutokana na findings zifuatazo:-

1. Unapoingia kituo mashine inasoma na kuonesha muda na jina la kituo unachoingia. Details hizi pia zinaonekana pindi unapotoka. Sasa, KWANINI BRT hawakuweka function ya ku display balance? Kwanini wameshikwa na kigugumizi kuonesha amount-IN and amount-OUT?

2. Pia, ikiwa kiwango cha fedha katika kadi yako kimeshuka hadi kiwango fulani(Threshold halisi siijui ila katika kadi yangu ilikuwa TSHS850) basi unapoingia kituoni ile mashine inaonesha maandishi LOW BALANCE. Maneno haya yanaonesha kuwa BRT gate/door system zina feature ya kusoma balance iliyoko kwenye kadi, ila kwa makusudi au kwa kutokujua hawaoneshi kiasi halisi katika display screen za ma gate yao.

From programming world, ni rahisi sana ku-manipulate na ku display NUMBERS kuliko TEXT, imekuwaje waweke feature ya ku display TEXT ya LOW BALANCE, wakati huo huo washindwe ku display NUMBERS e.g. 3500?

Embu tuangalie mifano hii miwili ili tuweze kuona mfumo wa malipo wa DART wa sasa, na nini kifanyike ili kuondoa kero hiyo hasa kwa watumiaji/wasafiri.

A: Display LOW BALANCE
i. get CURRENT_BALANCE = 800
ii. if CURRENT_BALANCE greater than 1000 then display nothing
iii. else if CURRENT_BALANCE less than 1000 but greater than 650 OPEN DOOR and display LOW BALANCE
iv. else TRIGGER NOISE_ALERT and DO NOT OPEN DOOR

B: Display CURRENT BALANCE
i. get CURRENT_BALANCE = 800
ii. if CURRENT_BALANCE is not less than 650 then OPEN DOOR and display 800
iii. else TRIGGER NOISE_ALERT and DO NOT OPEN DOOR

Nimetumia lugha rahisi kuonesha ubora wa method B, kama ingetumika kwenye ma gate ya kuingilia kwenye vituo vya mwendokasi. Method B ipo simple & short, lakini inaondoa kero na confusion kwa wasafiri.
Faida za method B:
i. Huhitaji ku print risiti za kuonesha balance kwa mteja, so tuna save karatasi na resources nyingine hapa
ii. Iko simple na ni rafiki kwa mtumiaji/msafiri

Method A ni ndeefu lakini baadhi ya features zake hazina tija kwa wasafiri.
Hasara za method A:
i. Karatasi na resources(mahhour,human being,computer) zinahitajika
ii. Siyo rafiki kwa mtumiaji/msafiri
Je, nini kimewafanya ma engineer wa DART watumie method A? Kuna siri gani hapa?

Quote "...Unajua hawa watu wa IT ni hatari sana, wanawezakuwa wanaiba 50 tu kwa kila siku, ni shilingi ngapi hizo kwa watu laki mbili..." End

Haya ni baadhi ya maneno niliyoyasikia kutoka kwa watu hao. Nadhani ifikike mahali serikali ilifanyie kazi hili swala. Mimi kama IT sikubaliani na weakness mbaya kama hii walioonesha hawa ma contractor waliopewa hii kazi na serikali yetu. Itapendeza tukimjua huyu contractor wa hizi mashine, isije ikawa wanasubiria tusahau then waanze kutupiga hela chafu kama yule aliyekuwa ana transfer 7 million per second.

Pamoja
 
Leo jioni nikiwa kwenye mwendokasi kuelekea kimara,nilisikia watu wazima kama wanne wakilalamikia huduma ya BRT(mwendokasi). Hoja za hawa watu ziko hivi:-

1. Nauli ya mwendokasi hadi Mbezi ni TShs800. Unalipa TShs650 hadi Kimara, then unalipa TShs150 hadi mbezi. Tozo hili ni kwa wale wanaotumia card maalumu za BRT. Cha kushangaza BRT inawakata TShs650 hadi kimara, then TShs400 hadi mbezi.

2. Hoja ya pili ni kwamba ukitaka kujua salio lazima uende kwenye ofisi ya BRT waangalie/read kwa computer zao kisha wakupe risiti ya balance yako. Kwanini mashine ya kuingilia isiwe inaonesha balance wakati unapoingia na wakati unapotoka kituoni?

Kwa uelewa wangu, sikuweza kuthibitisha hoja yao ya kwanza, kwasababu sijawahi kusafiri hadi mbezi.

Hoja yao ya pili ina mashiko, kutokana na findings zifuatazo:-

1. Unapoingia kituo mashine inasoma na kuonesha muda na jina la kituo unachoingia. Details hizi pia zinaonekana pindi unapotoka. Sasa, KWANINI BRT hawakuweka function ya ku display balance? Kwanini wameshikwa na kigugumizi kuonesha amount-IN and amount-OUT?

2. Pia, ikiwa kiwango cha fedha katika kadi yako kimeshuka hadi kiwango fulani(Threshold halisi siijui ila katika kadi yangu ilikuwa TSHS850) basi unapoingia kituoni ile mashine inaonesha maandishi LOW BALANCE. Maneno haya yanaonesha kuwa BRT gate/door system zina feature ya kusoma balance iliyoko kwenye kadi, ila kwa makusudi au kwa kutokujua hawajaoneshi kiasi halisi katika display screen za ma gate yao.

From programming world, ni rahisi sana ku-manipulate na ku display NUMBERS kuliko TEXT, imekuwaje waweke feature ya ku display TEXT ya LOW BALANCE, wakati huo huo washindwe ku display NUMBERS e.g. 3500?

Quote "...Unajua hawa watu wa IT ni hatari sana, wanawezakuwa wanaiba 50 tu kwa kila siku, ni shilingi ngapi hizo kwa watu laki mbili..." End

Haya ni baadhi ya maneno niliyoyasikia kutoka kwa watu hao. Nadhani ifikike mahali serikali ilifanyie kazi hili swala. Mimi kama IT sikubaliani na weakness mbaya kama hii walioonesha hawa ma contractor waliopewa hii kazi na serikali yetu. Itapendeza tukimjua huyu contractor wa hizi mashine, isije ikawa wanasubiria tusahau then waanze kutupiga hela chafu kama yule aliyekuwa ana transfer 7 million per second.

Pamoja

Haya sawa tumeshajua kwamba wewe ni IT specialist kama ndicho ulichokuwa unatafuta, zaidi ya hapo unaweza kuwaona ofisini kwao bila shaka wana dawati la malalamiko!
 
naumia sana kuona ccm inawatelekeza watoto wa vijijini ambapo ni shimo la ccm kuchukua kura
images-34.jpeg

CRtWHzpW0AABAon.jpg

swissme
 
Its simple...hizo card ziweze kuwa na access ya USSD, mteja aweze kuingia eg *150*card number# ili aweze kuona salio lake kwenye simu yake mwenyewe kuliko kwenda kwa wakala....pia hizo card ziweze kuwa linked na simu ya mteja ambapo kila card ya mteja inapotumika inatuma SMS kuwa card X imetumika kwenye kituo Y na salio lako ni Z..
 
Haya sawa tumeshajua kwamba wewe ni IT specialist kama ndicho ulichokuwa unatafuta, zaidi ya hapo unaweza kuwaona ofisini kwao bila shaka wana dawati la malalamiko!

Tumeshajua ulitaka kuwa wa kwanza ku-comment, hongera.

IT wanatumia njia za ki-IT kufikisha ujumbe.
 
Its simple...hizo card ziweze kuwa na access ya USSD, mteja aweze kuingia eg *150*card number# ili aweze kuona salio lake kwenye simu yake mwenyewe kuliko kwenda kwa wakala....pia hizo card ziweze kuwa linked na simu ya mteja ambapo kila card ya mteja inapotumika inatuma SMS kuwa card X imetumika kwenye kituo Y na salio lako ni Z..

Kama gate linaonesha LOW BALANCE fedha inapokuwa chini ya kiwango fulani, kwanini washindwe kuonesha kiasi halisi kilichobaki kwenye kadi?

Hiyo solution yako ni nzuri na inaongeza MOBILITY, lakini ni gharama zaidi. Feature ya ku-display balance unapoingia kwenye gate ni BASIC FEATURE na wala huhitaji extra effort kiivo.
 
Back
Top Bottom