Mwendokasi na ajali

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
3,158
2,000
HNP6kdWSHYiq9BdK_W-FGnQbjbRtd416hOLJczc0Gl1sVD1QQS3aXTwtSD7rgsuJ1VDCX1b5248ghzOb-7UVnxG2jzpwcTjJHvU24EK_01FJkUKP9oHTwCdb3trY27D3mttb64XLO-wdTAOh68_rUfFeRjFUtmOdyqtSIYZLPWCWaH_SzTt6aS5j5DSnJbi7=s0-d-e1-ft


Hii ni ajali iliyosababishwa na mwendo kasi, ni kati ya Mwanza coach na hiace, ajali hii imetokea jana majira ya asubuhi. Japokuwa madereva huendesha magari katika mwendo kasi wakidhani kuwa wanawahi kufika eneo husika bila kujua kuwa wamebeba Roho za watu katika mikono yao.

Pia abiria huchangia kwa kukaa kimya au kushindwa kuungana kwa pamoja kumshurutisha dereva kupunguza mwendo na kuwaachia wachache wamkemee na kuonekana kituko.
 

Uni mwanitu

Senior Member
Oct 25, 2014
197
195
Mi huwa nikipanda gari isiyo kimbia sku ingine sipandi tena hiyo gari inayo kimbia ina raha yake Mby to Dar kitu lazima kikimbie. ajari ni ajari tu misafara ya viongozi ndo inaongoza kwa mwendo kasi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom