Katika suala ambalo kama nchi tumefeli ni kutengeneza miundo mbinu rafiki na inayotatua changamoto za raia.
Ukiangalia vituo vya kukatia tiketi za mwendo kasi kati ya Kimara na Kibaha unashindwa kuelewa barabara nane zikifunguliwa je mabasi ya mwendokasi yatakuwa na njia maalumu? Itakuwa wapi? Na abiria wake watapakia vipi?
Maswali ni mengi baada ya kuona jinsi kituo cha mabasi cha Magufuli terminal na cha daladala cha Mbezi Mwisho vilivyoanza kutengeneza jam kama ya iliyokuwepo ubungo.
Ukiangalia pembeni ya barabara nane hakuna sehemu maalum kwa watembea kwa miguu.
Mbona mchoro wa kivukoni kimara ulichorwa vizuri?Na vituo vya mwendokasi viko well designed?
Ni nani alichora hii barabara ya Kimara-Kibaha?
Kwa kuongezea kwanini Morocco Mwenge wametoa lami katikati wasingemodify ile njia ya mwendokasi?