D Dopas JF-Expert Member Aug 14, 2010 1,151 392 Jun 7, 2013 #3 Anaenda sokoni kununua matunda na mboga... interesting.
mdeki JF-Expert Member Mar 28, 2011 3,300 466 Jun 7, 2013 #5 Eti tulikuwa hivi!!au hawa ndo walikuwa kama sisi? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Jun 7, 2013 #6 Naona leo Nyaningabu anachukua mazoezi ya kupunguza kitambi. Haya bwana kila la heri katika kujenga afya.
Naona leo Nyaningabu anachukua mazoezi ya kupunguza kitambi. Haya bwana kila la heri katika kujenga afya.