Mwendesha mashtaka wa serikali wa New York, adai alifukuzwa kwa kukataa kupokea simu za Trump

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Aliyekuwa mwendesha mashtaka wa serikali wa New York, ameweka wazi kufukuzwa kwake kazi na Rais Donald Trump baada ya kupokea baadhi ya simu zisizo za kawaida kutoka kwake.

Preet Bharara ameiambia ABC kuwa "Wiki hii nilihisi simu kutoka kwa Trump ambaye alivuka mipaka kwa kushindwa kutofautisha eneo la utendaji na uhuru wa uchunguzi wa makosa ya jinai.

Bharara alisema, amefukuzwa baada ya kukataa kupokea simu ya tatu ya Rais Trump.

upload_2017-6-12_14-52-3.jpeg
 
Mliokomenti hapo juu marekani sio tz watu wanazingatia taaluma zao
 
Back
Top Bottom