ferre.g JF-Expert Member Mar 3, 2013 2,215 327 Dec 25, 2013 #1 now ukweli ulo wazi kuwa awamu hii ikulu imepatikana toka usanii wa kutoka geita hadi lumumba na kuishia ikulu. Time wapi mwendesha baiskeli huyu jamani? Vipi hali yake ya maisha i-bora? teh teh sarakasi hizi bana zitakoma October 2015.
now ukweli ulo wazi kuwa awamu hii ikulu imepatikana toka usanii wa kutoka geita hadi lumumba na kuishia ikulu. Time wapi mwendesha baiskeli huyu jamani? Vipi hali yake ya maisha i-bora? teh teh sarakasi hizi bana zitakoma October 2015.
T Tabalo JF-Expert Member Feb 10, 2013 287 69 Dec 25, 2013 #2 Kama sijakuelewa hv,hebu alieelewa achangie
Halfcaste JF-Expert Member Nov 28, 2010 972 215 Dec 25, 2013 #3 Tabalo said: Kama sijakuelewa hv,hebu alieelewa achangie Click to expand... watZ ni watu waajabu! umeishasahau yule mwendesha baiskeli kutoka Geita kwenda Ikulu kumpogeza Jk, yaani wonders never end in tz
Tabalo said: Kama sijakuelewa hv,hebu alieelewa achangie Click to expand... watZ ni watu waajabu! umeishasahau yule mwendesha baiskeli kutoka Geita kwenda Ikulu kumpogeza Jk, yaani wonders never end in tz