Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE
Laana za kumuondoa Jiwe?. Kama ni Mungu ndio kamuondoa nani anaweza kumlaani muumba?.

Maisha ya binadamu yana ukomo ni suala la tulio hai kuutambua ukweli huo.
 
Katika huduma zote hizo ulizotaja ni huduma ipi huyo mwananchi wa kawaida anaikosa kwa sasa...acha majungu!
tulizeni matucle,hali si shwari.

watu wako kwenye majonzi mnaleta siasa zenu za kichoko

IMG-20210521-WA0029.jpg
 
Wanabodi nawasalimu.

Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.

Serikali imechukua hatua na uchunguzi unaendelea maana zipo kila aina ya harufu kuwa ilikuwa ni hujuma ya Sukuma Gang. Jaribio hilo limeshindwa.

Habari zilizonifikia ni kwamba sasa wanaenda kutoboa bwawa la Mtera ili hatimaye likauke nchi iingie gizani watu wamlaumu Mama na kumkumbuka Mwendazake. Vyanzo vya umeme ni vingi lakini umeme unaotokana na maji (Mtera) bado ni la msingi.

Nashauri Usalama wa Taifa litupe macho huko Mtera kuzuia hujuma hiyo isitokee. Hatujui Plan C yao ni nini.
#FreedomIsBack

Mama namshauri asiangaike na Sukuma Gang bali viongozi wa taasisi ambazo zitatokea hizo hujuma,mtera ikizimwa inatakiwa Mh SSH ale vichwa mameneja wote wa mtera maana jukumu la ulinzi ili watu wasio na nia njema wasiweze kuhujumu ni lao.
 
huyu jamaa mwanamume alikuwa mfanyakazi wa vodacom ameuawa na majambazi baada ya kutoka bank.
Dooh kumbe ni huyo aliyepigwa risasi na majambazi ,inasikitisha sana.

Dawa ya majambazi ni kupigwa vyuma mtandao wote ,ndio dawa ya kuwamaliza majambazi,Wambura atumie Kova style ya kuwalamba vyuma majambazi kwenye msitu wa pande ,kisha saa mbili ITV tusikie tu kwamba walikuwa wanapamba na polisi bahati mbaya wakapata majeraha wakati wanapelekwa hospital wakafia njiani.
 
.....ilikuwa ni hujuma ya .... Jaribio hilo limeshindwa.
Kujenga uhasama kati ya watanzania fulani na wengine...ndiyo njia pekee mliyobaki nayo ya kutuvuruga watanzania. Mtashindwa.

Dalili za kujenga uhasama katikati yetu ni kuanza kulenga kabila fulani kwa lugha za kiuhasama ili makabila mengine ama yaliunge mkono ama yalipinge kabila hilo.

Yametokea Ethiopia haya. Tujitafakari!
 
Eti kwa wananchi wa kawaida wamemwona mkombozi? Mkombozi wa nini yule mwendazake?

Waliomwona mkombozi ni sukuma gang ambao walimwona kama mungu wao. Aende zake, Kyle hajatukomboa kwa lolote zaidi ya kutufokea tu.

Nini tulikipata kwake tulichokikosa kwa Jakaya?
Vyeti feki mnateseka sana asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi nawasalimu.

Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.

Serikali imechukua hatua na uchunguzi unaendelea maana zipo kila aina ya harufu kuwa ilikuwa ni hujuma ya Sukuma Gang. Jaribio hilo limeshindwa.

Habari zilizonifikia ni kwamba sasa wanaenda kutoboa bwawa la Mtera ili hatimaye likauke nchi iingie gizani watu wamlaumu Mama na kumkumbuka Mwendazake. Vyanzo vya umeme ni vingi lakini umeme unaotokana na maji (Mtera) bado ni la msingi.

Nashauri Usalama wa Taifa litupe macho huko Mtera kuzuia hujuma hiyo isitokee. Hatujui Plan C yao ni nini.
#FreedomIsBack
Naamini ni mwendelezo tu wa hujuma zilizokuwa zikiendelea hata wakati wa Hayati John Pombe Magufuli. Kwa miaka yote ya kipindi chake kulikuwa na figisu zinazoashiria hujuma.

Mara baada ya kifo cha JPM, ghafla matatizo yanayohusiana na ugavi wa umeme yalipungua kabisa. Inaonyesha kilikuwa ni kipindi cha kusoma upepo unaelekea wapi.

Hao Sukuma Gang kama wapo kweli wanapakaziwa tu, cha kufanya ni kuifumua Tanesco toka juu hadi chini na kupanga safu mpya inayoelewa maana ya kuendesha makampuni na mashirika.
 
Rais wa nchi hii ana nguvu sana. Hao sukuma gang ni akina Nani anashindwa kuwasukumia huko pembeni?

Au ni majungu tu ili akina sukuma gang wapokwe nafasi zao? Wasiaminiwe?
 
2025 sio mbali..apambane mama asiwaamin watu jitahidi.watu wanakuaga na ndimi mbili..unafiki
 
Kama ni hujuma kweli, basi ina maana hata taasisi nyeti kama TISS ukiondoa viongozi wakubwa serikalini, zinahusika...

Wote tunajua kuwa moja ya jukumu kubwa kabisa la TISS ni KUNUSA na KUTAMBUA na ikibidi KUZUIA aina yoyote ya hujuma dhidi ya nchi yetu...

Kama haya yanatokea halafu "jicho la nchi" yaani TISS halioni mpaka kunatokea madhara KIJAMII na KIUCHUMI nchini, maana yake taasisi hii muhimu inakuwa haina maana yoyote kuwepo....!!
Kwa Sasa Ipo kwa ajili ya kuuwa CHADEMA hayo mengine mnawabebesha mzigo tu.
 
Wanabodi nawasalimu.

Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.

Serikali imechukua hatua na uchunguzi unaendelea maana zipo kila aina ya harufu kuwa ilikuwa ni hujuma ya Sukuma Gang. Jaribio hilo limeshindwa.

Habari zilizonifikia ni kwamba sasa wanaenda kutoboa bwawa la Mtera ili hatimaye likauke nchi iingie gizani watu wamlaumu Mama na kumkumbuka Mwendazake. Vyanzo vya umeme ni vingi lakini umeme unaotokana na maji (Mtera) bado ni la msingi.

Nashauri Usalama wa Taifa litupe macho huko Mtera kuzuia hujuma hiyo isitokee. Hatujui Plan C yao ni nini.
#FreedomIsBack
Koozito wewe mtu ni mpumbafu kuliko wapumbafu hata aliokuwa akiwasema Baba wavTaifa letu Mwl Nyerere
1. Unasema Rais Mama Samia anahujumiwa si kweli wala kitu chepesi kufanya hivyo kwani si yeye bali urais ni Taasisi.
2. Issue ya Luku ni technical sana na hili swala hata PM ameshaliongea na kulitafutia solution
3. Eti umepata taarifa wanaenda kutoboa bwana la mtera ili maji yaishe huu ni upumbafu tena wa kiwango cha juu kutuambia hivyo, wewe ni nani hadi upate taarifa kama hii Fala wewe
4. Eti wakishafanya hivyo ndio watu watamkumbuka mwendazake hapa pia kuna ujinga mkuu, kwani nani kakataza watu kumkumbuka mwendazake? Atakumbikwa tuu kwa yote aliyoyafanya.
5. Eti watu watamlaumu Rais Mama Samia nnchi ikiingia gizani, huu ni upuuzi wako tuu nchi haiwezi kuingia gizani kamwe labda wewe ushindwe kuweka/kununua umeme nyumbani kwako ndio watoto wako either watamlaumu Mama yao kwa kukubali kuolewa na wewe au Mama yako Mzazi kuzaa wewe mbulula.
6. Stop full Tanzanian pumbafu wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom