ninavyo elewa mimi ni kwamba zunguka unavyozunguka, tafuta unavyotafuta lakini mwisho wa siku utarejea nyumbani(ngamani) tezi na omo ni pande za ngalawa (mbele na nyuma) ngamani ni pale katikati kwenye lile tanga
Wadau nisaidieni kwa kweli
Anaye hangaika huku na huko, mwisho wa siku hutulia mahali salama kwake.Hii methali inamaanisha kuwa yule mtu ambaye anakwenda mbele na nyuma, mwishowe huwa hana msimamo.
good answerninavyo elewa mimi ni kwamba zunguka unavyozunguka, tafuta unavyotafuta lakini mwisho wa siku utarejea nyumbani(ngamani) tezi na omo ni pande za ngalawa (mbele na nyuma) ngamani ni pale katikati kwenye lile tanga
Umepiga ndiponinavyo elewa mimi ni kwamba zunguka unavyozunguka, tafuta unavyotafuta lakini mwisho wa siku utarejea nyumbani(ngamani) tezi na omo ni pande za ngalawa (mbele na nyuma) ngamani ni pale katikati kwenye lile tanga
ninavyo elewa mimi ni kwamba zunguka unavyozunguka, tafuta unavyotafuta lakini mwisho wa siku utarejea nyumbani(ngamani) tezi na omo ni pande za ngalawa (mbele na nyuma) ngamani ni pale katikati kwenye lile tanga
ZINAITWA NI MINYOROROhivi zile kamba zinazofungwa ili mashua isichukuliwe na mawimbi si inaitwa ngamia?
nimeitoa mahali hiiZINAITWA NI MINYORORO
duu aisee mimi nilifikia karibu kama Kichaa.Sikwenda mbali hivo.Ila mzee baba basi uko vizuri sheikhnimeitoa mahali hii
Je, wajua ngamia inayosemwa kupenya tundu la sindano sio yule mnyama ? Ni ngamia kamba nene na ngumu aghalabu hutumiwa kutilia nanga vyombo vya majini hususani meli. via: #probeatz.ga
Umoja Wa Walimu Wa Somo La Kiswahili Tanzania - UWASOKITA
Duh, hii methali ya zenji hii