Mwekinyekiti wa Halmashauri ya Meru Wily Joseph Njau pamoja na Mdogo wake wamepata ajali ya Gari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,260
2,000
Mwekinyekiti wa Halmashauri ya Meru Wily Joseph Njau pamoja na Mdogo wake wamepata ajali wakiwa njiani kuelekea hospital ya Kcmc kumjulia hali Baba yao aliyelazwa hospitalini hapo.

Ajali hiyo imetokea maeneo ya njia panda ya masama baada ya kugongana na Gari aina ya hilax akiwa na Gari ndogo.

Nimeongea na Mhe Njau kwa simu ameniambia anaendele vizuri ila amevunjika vidole 3 Vya mkono na majeraa madogo madogo wote wanaendelea na matibabu hospital ya Kcmc

Tunaendelea kuwaombea majeruhi ili Mungu awape wepesi waendelee na shunguli za ujenzi wa Taifa

July Ayo
meru2.jpg

meru.jpg
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,685
2,000
Pole yao. Ila kupata ajali (huenda kwa kuovertake) kwenye mkeka ulionyoka kama rula, ni uzembe wa kiwango cha lami... Siku nyingine wawe makini wawapo bara barani. Bara bara haitaki siasaa.
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,497
2,000
Unamaanisha inapokutana barabara ya kwenda Arusha na inapoanza barabara ya kwenda Masama..?

Pole zao na wapate nafuu mapema..
 
KIM JOHN UN

JF-Expert Member
Nov 10, 2017
693
1,000
pole sana mwenyekiti wetu hope uta recover very soon cha msingi ni kuzingatia ushauri wa daktari.
 
Sobangeja

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
317
250
Mwekinyekiti wa Halmashauri ya Meru Wily Joseph Njau pamoja na Mdogo wake wamepata ajali wakiwa njiani kuelekea hospital ya Kcmc kumjulia hali Baba yao aliyelazwa hospitalini hapo.

Ajali hiyo imetokea maeneo ya njia panda ya masama baada ya kugongana na Gari aina ya hilax akiwa na Gari ndogo.

Nimeongea na Mhe Njau kwa simu ameniambia anaendele vizuri ila amevunjika vidole 3 Vya mkono na majeraa madogo madogo wote wanaendelea na matibabu hospital ya Kcmc

Tunaendelea kuwaombea majeruhi ili Mungu awape wepesi waendelee na shunguli za ujenzi wa Taifa

July Ayo
View attachment 649216

View attachment 649215
Q
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom