Mwekezaji anatafuta viwanja vya kuwekeza maeneo ya Masaki, oysterbay and ADA estate

mwanza

JF-Expert Member
May 7, 2009
759
486
kuna mwekezaji anatafuta viwanja kwa ajili ya kuwekeza either lease au joint venture maeneo ya masaki, oysterbay na ADA estate.
kama una plot au unamjua mtu anayetafuta mwekezaji nipigie namba 0719338511
 
Kunduchi jee? Apartments (28 apartments) zipo tayari zinahitaji finishing tuu. Tunatafuta Joint venture or Lease.
 
Huyo mwekezaji ni mzalendo wa mgeni? naweza mtema kwa kuhonga watu wa uhamiaji wamfutie viza baada ya mradi kukamilika?
 
Back
Top Bottom