mweeeh na mim wapi????

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
za leo waungwana jaman melala nkaota kila mwana jf amealikwa ila sa sijui na nan na niwapi hata mim mejiona kwa ndoto but sijui nan kanialika na wapi hebu mje mseme nyie ndo mwajua vema, kirisimasi hii jaman mimi huyu mwanzaaa

Beibe nasty
 
Tarehe 28/12/2012 hadi 30/12/2012 umealikwa kukutana na JF MEMBERS wote pale TANGA. Ndiyo ndoto iliyokusumbua last night as members wa Arusha na Dar walikuwa kwny same spirit mood, ndoto zimewakuta absentees wote ila ww tu umeleta habari. Mzima wewe?
 
Arushaone hata sie wa mwanza tulikuwa somewhere sema huyo mtoto anaogopa saaaaaana kuonesha sura yake... tumemtafuta sana hapatikaniki....
 
Last edited by a moderator:

Jaman cl shoga yangu mi mbona nilikua napatikana mweeh sa hata sikujua coz juzi nilikua kwa party jana meshinda nimelala tuu. samahanin lakin coz sikujua mim na nilikua hewan tuu kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Tarehe 28/12/2012 hadi 30/12/2012 umealikwa kukutana na JF MEMBERS wote pale TANGA. Ndiyo ndoto iliyokusumbua last night as members wa Arusha na Dar walikuwa kwny same spirit mood, ndoto zimewakuta absentees wote ila ww tu umeleta habari. Mzima wewe?

itakuwa ndio hivyo!
 
Jaman cl shoga yangu mi mbona nilikua napatikana mweeh sa hata sikujua coz juzi nilikua kwa party jana meshinda nimelala tuu. samahanin lakin coz sikujua mim na nilikua hewan tuu kwa kweli

Duh... Sie tangu alhamisi tulianza weekend na leo ndo tutaimalizia. Haya sema utakuwa wapi tukufuate huko huko make ukisema waja, huji :lol:
 
Tarehe 28/12/2012 hadi 30/12/2012 umealikwa kukutana na JF MEMBERS wote pale TANGA. Ndiyo ndoto iliyokusumbua last night as members wa Arusha na Dar walikuwa kwny same spirit mood, ndoto zimewakuta absentees wote ila ww tu umeleta habari. Mzima wewe?

Yan basi hii ni hatarii mi mzima mkuu
 
daughter mzima wewe! jana nilikua nasikia tu kwa mbali ukiteta na kina Rutta....moyoni nikawa najifagilia "that's my princess"....
 
Tarehe 28/12/2012 hadi 30/12/2012 umealikwa kukutana na JF MEMBERS wote pale TANGA. Ndiyo ndoto iliyokusumbua last night as members wa Arusha na Dar walikuwa kwny same spirit mood, ndoto zimewakuta absentees wote ila ww tu umeleta habari. Mzima wewe?

Yan basi hii ni hatarii mi mzima mkuu
 
Duh... Sie tangu alhamisi tulianza weekend na leo ndo tutaimalizia. Haya sema utakuwa wapi tukufuate huko huko make ukisema waja, huji :lol:
Jaman cl umeniamulia mweeh leo si nimekuambia nina nin bt jion ntakuwa free mandela bt unahisi ntadanganya nakusikiliza wewe shoga aangu
N
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom