beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
za leo waungwana jaman melala nkaota kila mwana jf amealikwa ila sa sijui na nan na niwapi hata mim mejiona kwa ndoto but sijui nan kanialika na wapi hebu mje mseme nyie ndo mwajua vema, kirisimasi hii jaman mimi huyu mwanzaaa
Beibe nasty
Beibe nasty