Mweee ndo unashtuka kuwa umepigwa changa la macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mweee ndo unashtuka kuwa umepigwa changa la macho

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mulhat Mpunga, Jun 12, 2012.

 1. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  MAKUUUBWA.jpg MSHKAJI NDO ANASHTUKA LEO KUWA KAINGIZWA CHAKA SASA HAPA NDO ANATHIBITISHA
  WALITUMIA PESA ZETU KUTANGAZA KUWA HELA ZINA VIWANGO,TBC KILA SAA WANAONYESHA KUMBE HOVYOOO
  KWANZA 500 NDO ZINAZIDI UBOVU:A S-heart-2::israel:
   
 2. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ndo ishatokea,lakini najua unawish ucngegonbea upresident na you hate the person aliekupa io idea cz problemz hv overweighed the goodtymz
   
 3. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mererani, jero mpya zimeanza kukataliwa.
  Zinachanika katikati na mstari wa silver unachomoka tofauti na za zamani.
   
 4. J

  Jembe la ndege Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anamche bb wa taifa nyie embu muachen mwenzenu hajielew.:-D
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe hebu andika vizuri ueleweke, hapa sio kwenye sms.
   
 6. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hujui kuandika au tatizo k]lako nini mkuu maana hausomeki kabisa
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  hahahahahaaa
   
 8. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkulu kaingizwa chaka sehemu nyingi tu..........................!
   
Loading...