Mwauwasa na manispaa ya Ilemela acheni kutesa wananchi wenu

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam ziwafikie viongozi wa MWAUWASA na Manispaa ya Ilemela
Mnachokifanya sio haki na ni kuwatesa wananchi wenu
Haiwezekani tangu juzi jioni eneo la Buswelu ambako ndo makao ya wilaya ya Ilemela na makao makuu ya manispaa wananchi wakose Huduma ya maji
Halafu mlivyokosa ustaarabu viongozi wa MWAUWASA mmeshindwa kutoa taarifa hii Shida itaisha lini na tatizo ni nini
Acheni kufanya kazi kwa mazoea haiwezekani maeneo ya mjini ambayo ndo yana matumizi makubwa ya maji muwakoseshe Huduma ya maji wananchi
Halafu mwisho mnakua mabingwa wa kuleta bill kubwa acheni ubabaishaji wenu
Nyie viongozi wa manispaa mbona mnatia aibu mnashindwa kusimamia Huduma bora za jamiii kwa watu wa manispaa yenu?
Buswelu imekua na Shida ya maji yani hakuna Huduma ya uhakika
Kama kuna viongozi humu wa MWAUWASA na manispaa salaam ziwafikie wananchi wanataka maji acheni ubabaishaji wenu .
OVA
 
Si uhame huko sie huku isamilo maji kibao ok!! Sanga amekusikia atarekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom