Mwarobaini wa kuzuia vifo mara ajali ya gari inapotokea

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
636
811
Njia niyoona inaweza sana kupunguza vifo au kuondoa kabisa vifo nashauri abiria wote kwenye bus wawe wanavaa helment ngumu wote sio hizi za kichina ambazo hata ukiipiga ngumi tu inapasuka

Ushauri huu unaweza kuonekana wa kijinga lakini ndio njia pekee ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa vifo

Ajari ikitokea mara nyingi watu wengi hufariki kutokana na kuumia kichwabi. Abiria wote wakifunga mikanda na kuvaa helment naamini vifo vinaweza kupungua sana.Kila bus litatakiwa kuwa na helment idadi ya abiria.

Nimesikitika sana ajali ya bus la super feo leo kijana mmoja ameumia sana kichwani.

Kamanda Mohamed Mpinga chukua huo ushauri ndio mwarubaini wa vifo kwenye ajari.
 
Hujui kunakubanwa au kutobolewa tumbo au kifua na vyuma vinavyokatika kutoka kwenye Viti ?? Iko siku mtasema mtu akiumwa na nyoka kichwani afunge kamba shingoni ( kujinyonga???!!)
 
engineers wa TZ ni majanga wacheni wachina waendelee kula tenda za miradi mikubwa tu asee
 
Njia niyoona inaweza sana kupunguza vifo au kuondoa kabisa vifo nashauri abiria wote kwenye bus wawe wanavaa helment ngumu wote sio hizi za kichina ambazo hata ukiipiga ngumi tu inapasuka

Ushauri huu unaweza kuonekana wa kijinga lakini ndio njia pekee ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa vifo

Ajari ikitokea mara nyingi watu wengi hufariki kutokana na kuumia kichwabi. Abiria wote wakifunga mikanda na kuvaa helment naamini vifo vinaweza kupungua sana.Kila bus litatakiwa kuwa na helment idadi ya abiria.

Nimesikitika sana ajali ya bus la super feo leo kijana mmoja ameumia sana kichwani.

Kamanda Mohamed Mpinga chukua huo ushauri ndio mwarubaini wa vifo kwenye ajari.
Hili lako lina nia njema kabisa lakini linahitaji tafakuri ya ziada kwakuwa halitekelezeki na lina walakini mkubwa
-haiwezekani kabisa kuwavisha abiria 50 helmet ndani ya bus , kuna ishu ya hali ya hewa na hata magonjwa hasa yale ya ngozi
-vifo vingi hutokana na watu kuumia ndani ya mwili na mshtuko
-vifo vingi hutokana na majeruhi kukosa huduma ya kwanza na huduma sahihi kwenye vituo na hospital zetu
Mpaka wazungu kuamua kuwa na option ya mikanda na airbags walishajaribu helmet na vingine pia
Kinachitakiwa ni
Kuwa na madereva weledi waliofuzu mafunzo yao vizuri
Madereva wanaotambua dhima na umuhimu wa kazi yao
Kuwa na barabara nzuri zenye viwango
Kuheshimu sheria za barabarani na kuwa na discipline na vyombo vya moto
Madereva kulipwa vizuri na kuepuka kuwa overwork nk nk
 
Mkanda tu kuvaa watu hawataki sjui helmet kama tutaelewana.

Kama mikanda ingefungwa kwa usahihi hiki unachodhania ningefanyika pia, maana ukiwa loose gari hata ikiangukia ubavu, una hatari ya kwenda kupiga kichwa na kuumia au kufariki kabisa.
 
Njia niyoona inaweza sana kupunguza vifo au kuondoa kabisa vifo nashauri abiria wote kwenye bus wawe wanavaa helment ngumu wote sio hizi za kichina ambazo hata ukiipiga ngumi tu inapasuka

Ushauri huu unaweza kuonekana wa kijinga lakini ndio njia pekee ya kupunguza kama sio kuondoa kabisa vifo

Ajari ikitokea mara nyingi watu wengi hufariki kutokana na kuumia kichwabi. Abiria wote wakifunga mikanda na kuvaa helment naamini vifo vinaweza kupungua sana.Kila bus litatakiwa kuwa na helment idadi ya abiria.

Nimesikitika sana ajali ya bus la super feo leo kijana mmoja ameumia sana kichwani.

Kamanda Mohamed Mpinga chukua huo ushauri ndio mwarubaini wa vifo kwenye ajari.
Helmet
 
Sawa kabisa mimi huwa abiria wananionaga kama kichaa, huwa navaaga yangu nikienda Moshi?Arusha. Waaacha waseme.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom