Mwarabu Aondoke Loliondo: Wakina Mama wa Kimasai

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
ujumbe2.JPG

Baadhi ya kinamama wa jamii ya Kimasai, wakitoa ujumbe wao wakati wa Tamasha la Kijinsia lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Dar es salaam jana.

source: gazeti Majira

Natafiti habari za Loliondo na nimeona hii picha. Wamasai walianza harakati muda mrefu.
 
ujumbe2.JPG

Baadhi ya kinamama wa jamii ya Kimasai, wakitoa ujumbe wao wakati wa Tamasha la Kijinsia lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Dar es salaam jana.

source: gazeti Majira

Hii picha unanikumbuka Huyo mrembo wa kimasai wa pili kutoka kushoto Roho yangu ilivyomudondokea miguuni kwake.
Natural beauty at its best. Mtoto anapaka samli tu na hajui mambo ya kidunia. Naombeni msaada wadau jinsi ya kuwasiliana na huyu ndito.
 
Back
Top Bottom