Mwaonaje hizi ndoa tungekuwa tunaishi mbalimbali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaonaje hizi ndoa tungekuwa tunaishi mbalimbali?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WONDERWOMAN, Jul 15, 2011.

 1. W

  WONDERWOMAN Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna kakangu mmoja alisema kuwa anampenda sana mkewe na watoto ila kuna vikero vidogo vidogo anahisi visigekuwapo kama wangekuwa wanaishi mbali na wifi ,sio kwa kumchukia au kwa kukwepa majukumu ila kupeana nafasi kidogo na demokrasia zaidi lakini hakuna kuzini,mwaionaje hii wakuu wa jamvi!
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hapo sasa inakuwa kusalitiana kwa kwenda mbele, hiyo ndoano sio ya kukamatia dagaa au samaki wa kawaida tena, hiyo ni ya kukamatia papa au nyangumi
   
Loading...