Mwanzo wa meditation

Naomba nijulishe juu ya swali hili.
Ukija kwenye swala mkuu itakubidi usali rakaa mbili mbili za tahajudi au istikhara au kiyamul layl zote zina utaratibu wake lakini kwa ushauri ushauri wangu ni heri usali kiyamu mbilimbili zikifika mara mbili unavuta nyiradi kisha unaendelea, hii ni bora zaidi kuliko meditation.

Rakims
 
Nimeona chenga kweli, meditation na Sara wapi na wapi, tunameditate kukwepa fikra, Sara ni fikra nuizi, mbona haviendi sawa?
Ni kweli mkuu haviendani, lakini watu huona meditation ni mlango wa kumsikiliza aliyewaumba sasa waislamu hufanya hivyo kutaka muongozo wa mola Wetu mkuu,

Rakims
 
Wakati mwingine inaweza tokea hata ukiwa umetoka usingizini lakini unakuwa bado hujashtuka kwa bed,unajikuta umehama kimawazo unakuwa kama unaota lakini kama hauko usingizini vile,unaenda katika sehemu ambayo hata hujawahi fika kimsingi,wala kupaona yaani ni sehemu kama taswira ya kuzimu vile au ulimwengu mwingine.hii kitu huwa inanitokea kwa vipindi sana
Au hii huwa ni nini!
 
Astral Projection/mental projection rejea kwenye thread yangu hii

Rakims
 
Kwa kuongezea Mimi nafahamu meditation za aina Tatu
Meditation ya pumzi(breath)
Meditation ya mantra
Meditation ya divine light and sound
Kwa wote mnaosoma hapa mnaweza kufanya breath but hizo zingine mpaka ueleweshwe vya kutosha jinsi ya kufanya
Breath inafanywa kwa kukaa chini iwe kitandani au chini kabisa
Chagua Mkao mmoja Hapo
View attachment 179621
Then weka mto Nyuma ya mgongo ukiegemea katika ukuta ili usichoke
Fumba macho
Anza kuingiza pumzi na kutoa taratibu
Fuatilia hiyo pumzi ikiingia weka pause au hold kabla ya kutoa then unatoa
Anza na dakika kumi
Hapo utakuwa umefanya breath meditation
Then utakachofeel njoo uandike hapa wote tusikie
Kumbuka akili yako yote kuielekeza katika pumzi wakati wa meditation
Mkuu nipo najifunza kupitia huu uzi!. Shukran kwa mwongozo! Hakika napenda sana kufanya meditation!
 
Hii elimu ilifikaga mwisho?

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Similar Discussions

122 Reactions
Reply
Back
Top Bottom