Naomba nijulishe juu ya swali hili.Sasa natakiwa kuzisali kawaida tu au kunajinsi ya kuzisali kimaditation?.
Ukija kwenye swala mkuu itakubidi usali rakaa mbili mbili za tahajudi au istikhara au kiyamul layl zote zina utaratibu wake lakini kwa ushauri ushauri wangu ni heri usali kiyamu mbilimbili zikifika mara mbili unavuta nyiradi kisha unaendelea, hii ni bora zaidi kuliko meditation.Naomba nijulishe juu ya swali hili.
Ukija kwenye swala mkuu itakubidi usali rakaa mbili mbili za tahajudi au istikhara au kiyamul layl zote zina utaratibu wake lakini kwa ushauri ushauri wangu ni heri usali kiyamu mbilimbili zikifika mara mbili unavuta nyiradi kisha unaendelea, hii ni bora zaidi kuliko meditation.
Rakims
Nimeona chenga kweli, meditation na Sara wapi na wapi, tunameditate kukwepa fikra, Sara ni fikra nuizi, mbona haviendi sawa?Vipi hapo umeona chenga chenga sio?
Rakims
Ni kweli mkuu haviendani, lakini watu huona meditation ni mlango wa kumsikiliza aliyewaumba sasa waislamu hufanya hivyo kutaka muongozo wa mola Wetu mkuu,Nimeona chenga kweli, meditation na Sara wapi na wapi, tunameditate kukwepa fikra, Sara ni fikra nuizi, mbona haviendi sawa?
Astral Projection/mental projection rejea kwenye thread yangu hiiWakati mwingine inaweza tokea hata ukiwa umetoka usingizini lakini unakuwa bado hujashtuka kwa bed,unajikuta umehama kimawazo unakuwa kama unaota lakini kama hauko usingizini vile,unaenda katika sehemu ambayo hata hujawahi fika kimsingi,wala kupaona yaani ni sehemu kama taswira ya kuzimu vile au ulimwengu mwingine.hii kitu huwa inanitokea kwa vipindi sana
Au hii huwa ni nini!
Good luck
Haina shida nitakufundisha hiyomeditation ya kumtoa mchato madarakani ipoje
Mbona mimi huwa siioni hii.Mimi nafanya meditation hadi pale naanza kupaa juu juu ndio huwa naacha je nipo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax ukifanya meditation Usitarajie lolote lile wewe concentrate kwenye pumzi inhale and exhale mengine watakuja kueleza wataalamu
Mkuu nipo najifunza kupitia huu uzi!. Shukran kwa mwongozo! Hakika napenda sana kufanya meditation!Kwa kuongezea Mimi nafahamu meditation za aina Tatu
Meditation ya pumzi(breath)
Meditation ya mantra
Meditation ya divine light and sound
Kwa wote mnaosoma hapa mnaweza kufanya breath but hizo zingine mpaka ueleweshwe vya kutosha jinsi ya kufanya
Breath inafanywa kwa kukaa chini iwe kitandani au chini kabisa
Chagua Mkao mmoja Hapo
View attachment 179621
Then weka mto Nyuma ya mgongo ukiegemea katika ukuta ili usichoke
Fumba macho
Anza kuingiza pumzi na kutoa taratibu
Fuatilia hiyo pumzi ikiingia weka pause au hold kabla ya kutoa then unatoa
Anza na dakika kumi
Hapo utakuwa umefanya breath meditation
Then utakachofeel njoo uandike hapa wote tusikie
Kumbuka akili yako yote kuielekeza katika pumzi wakati wa meditation