Mwanzo wa meditation

Ahsante Na Karibu Mkuu..!

#rakims

Nashukuru nishakaribia na nilishaanza kufanyia kazi. Ila nakwama njiani. Kila nikimeditate Kwa kufumba macho na kusikiliza pumzi naona kama mawingu meusi na nyota kwa mbali ikiwa na mwanga hafifu, kwa mda mfupi tu alafu vinatoweka.

Nishaona kama mara tatu kwa siku tofauti. Na baada ya hapo huwa siwezi kwendelea na meditation. Naomba unipe ufafanuzi ni nini hicho na nifanyeje nisonge mbele.

Natanguliza shukurani mkuu.
 
Ni lazima kukaa mkao wa meditation X style??? Maana wengine huo mkao haiwezekani vp kulala?? Au kama ntaegamia kitu..... Leta majibu mwl. Rakims.

ni sawa vile huta umia ukiwa umelala na Sehemu yoyote haiumi ni sawa mkuu..
 
Jamaa uko fit sana... mi nauliza tu ile ya kitana, apple na kioo.... kuna mdada mmoja nilimwelezea akaenda kuifanya eti akaniona mimi kwenye kioo kama mme wake mtarajiwa.... ni kweli... hii mambo au...
 
Nashukuru nishakaribia na nilishaanza kufanyia kazi. Ila nakwama njiani. Kila nikimeditate Kwa kufumba macho na kusikiliza pumzi naona kama mawingu meusi na nyota kwa mbali ikiwa na mwanga hafifu, kwa mda mfupi tu alafu vinatoweka. Nishaona kama mara tatu kwa siku tofauti. Na baada ya hapo huwa siwezi kwendelea na meditation. Naomba unipe ufafanuzi ni nini hicho na nifanyeje nisonge mbele.
Natanguliza shukurani mkuu.

nilikuelekeza Kwenye Uzi Wa Pasco Mkuu..

#Rakims
 
Jamaa uko fit sana... mi nauliza tu ile ya kitana, apple na kioo.... kuna mdada mmoja nilimwelezea akaenda kuifanya eti akaniona mimi kwenye kioo kama mme wake mtarajiwa.... ni kweli... hii mambo au...

siwezi Kufahamu Kama Ulimwambia Atamuona Fulani Imekula Kwako Mkuu..

#Rakims
 
ni sawa vile huta umia ukiwa umelala na Sehemu yoyote haiumi ni sawa mkuu..


Asante sana
Hebu tufundishe kufanya ukiwa umelala. Maana kwa mimi siwezi kuendelea nasomo lililotangualia mpaka nijue njia ya kufanya nikiwa nimelala.
 
Usichoke mkuu, tunajifunza bado.
ukishapumzika endelea kutitirika, tumesha subscribe topic
 
Ahsante Mkuu Rakims,
Naona hiyo itakuwa mali sana maana dah!waswahili wanasema kikulacho ki nguoni mwako tunacheka nao hatujui mipango yao
 

Similar Discussions

122 Reactions
Reply
Back
Top Bottom