CCM kutoka kura 36000-2010 hadi 26000-2011 Baada ya miezi nane ..kwa ujumla kutokana na uchaguzi wa igunga, na Chadema kitoka Kura 0 Mpaka kura 23200 Baada ya miezi nane, Huo siyo mwanzo mzuri
bila kuhonga mahindi kwa wapiga kura - wangepata kama zile za CUF - teh teh tehNa bado wanashangilia wameshinda!Wangekuwa na akili baada ya matokeo igunga wangeanzisha "vua gamba phase II'baada ya phase I kushindwa.
CCM kutoka kura 36000-2010 hadi 26000-2011 Baada ya miezi nane ..kwa ujumla kutokana na uchaguzi wa igunga, na Chadema kitoka Kura 0 Mpaka kura 23200 Baada ya miezi nane, Huo siyo mwanzo mzuri
Mzee nado hamjaona kuwa Chama chenu cha Mafisadi kinajipotezea umaarufu kila kukicha? Tulikuwa tunalisaka jimbo sawa lakini pamija na yote na uchakachuaji mulio ufanya Bado tu munajisifia eti tumelichukua jimbo,, Haya mumewasaidia nii wana Igunga? Miaka 50 ya huhuru hii mumefanya nini, Hizo no kauli za watu wasio kuwa na akili timamu kulee MirembeHuu haukuwa uchaguzi wakutafuta idadi ya kura ulikuwa ni uchaguzi wakutafuta Mbunge, kwa maana hiyo lengo halikutimia. Sasa unaposema mwanzo mzuri sijui nn kama lengo lilikuwa ni kutafuta idadi ya kura si mgeitisha kura ya maoni basi mngefanikiwa kujua idadi hiyo. Msijifariji hili la igunga ni bao la kisigizo , na mlivyo tegemea sivyo. Mlikuwa kila siku mnatoa takwimu zenu humu ndani sijui tutashinda 74%, 55% nk sasa yameishia wapi na kuja tena na mambo ya kura ?