Mwanzo mgumuu

Akhy D

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
361
419
Ziro Ndio nambari inayoanza kabla ya moja, lakini ukiiweka kabla ya moja husomeka moja (01) na ukiiweka baada ya moja husomeka kumi (10).
 
Karibu mgeni, unamaanisha nini?

Namaanisha kua: wote tumezaliwa na Sifuri (yaani hatuna kitu) lakini unapopiga hatua moja mbele katika maendeleo thamani yako inaongezeka Mara kumi.

0 - ulipozaliwa
01 - wakati unafanya kazi
10 - baada ya kufanikiwa
 
ahsante
 
Back
Top Bottom