Unafikiri hajui?Redio Tumaini sio redio binafsi, Ni redio ya kanisa.
Kuanzia lini kanisa Ni Mali binafsi?
Mali binafsi inamilikiwa na sole proprietor.
Kanisa sio sole proprietor, Ni taasisi inaayoongozwa na bodi ya wadhamini.
It is Christmas and not PasakaKuna siku alikuwa anasema pasaka ni sikukuu ya wasela kufurahia kuzaliwa kwa msela mwenzao, msela aliyezaliwa katika zizi la ng'ombe
Kuna siku alikuwa anasema pasaka ni sikukuu ya wasela kufurahia kuzaliwa kwa msela mwenzao, msela aliyezaliwa katika zizi la ng'ombe
Pole mno kwa Kanisa na Wakatoliki pia.Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini Tanzania (Radio Tumaini), Padre Francois Gautier amefariki dunia.
Aliwahi kuwa paroko wa parokia ya Manzese.
Will miss you father R.I.P