Mwanzilishi wa Kentucky Fried Chicken ( KFC) hakukata tamaa

Before you give up in life just take a look at the hair around your anus, despite their environment they still grow.-Robert Mugabe
 
Kilichonisikitisha zaidi hadi natamani machozi yanitoke ni jinsi ambavyo hakuweza kufaidi sana juhudi zake "I mean hakuweza kuinjoi sana kwa kile alichokiwaza siku za usoni nami ni mmoja wa wateja wake hususani pale kariakoo zamani bakhresa opposite na sheli ya Puma
 
At age 5 his Father died.

At age 16 he quit school.

At age 17 he had already lost four jobs.

At age 18 he got married.

Between ages 18 and 22, he was a railroad conductor and failed.

He joined the army and washed out there.

He applied for law school he was rejected.

He became an insurance sales man and failed again.

At age 19 he became a father.

At age 20 his wife left him and took their baby daughter.

He became a cook and dishwasher in a small cafe.

He failed in an attempt to kidnap his own daughter, and eventually he convinced his wife to return home.

At age 65 he retired.

On the 1st day of retirement he received a cheque from the Government for $105.

He felt that the Government was saying that he couldn’t provide for himself.

He decided to commit suicide, it wasn’t worth living anymore; he had failed so much.

He sat under a tree writing his will, but instead, he wrote what he would have accomplished with his life. He realised there was much more that he hadn’t done. There was one thing he could do better than anyone he knew. And that was how to cook.

So he borrowed $87 against his cheque and bought and fried up some chicken using his recipe, and went door to door to sell them to his neighbours in Kentucky.

Remember at age 65 he was ready to commit suicide.

But at age 88 Colonel Sanders, founder of Kentucky Fried Chicken (KFC) Empire was a billionaire.

Moral of the story: Attitude. It's never too late to start all over.

MOST IMPORTANLY, IT'S ALL ABOUT YOUR ATTITUDE. NEVER GIVE UP NO MATTER HOW HARD IT GETS.

You have what it takes to be successful. Go for it and make a difference.

-------
Akiwa na umri wa miaka 5 alifiwa na baba yake na akajikuta alipofikisha miaka 16 basi ameshindwa kabisa kuendelea na shule.Kwa sababu hiyo aliamua kujiingiza katika shughuli mbalimbali za kuajiriwa na ndani ya mwaka mmoja hadi anafikisha miaka 17 alikuwa tayari ameshafukuzwa kwenye kazi nne.Baada ya hapo alijaribu kuomba kujiunga na shule ya sheria lakini alikataliwa na akaamua kuwa wakala wa masuala ya bima na hapo akafeli tena.
Alipofikisha miaka 19 alipata mtoto na mchumba wake lakini hata hivyo mchumba wake alikimbia na mtoto wao.Akiwa karika hali ya kutafuta maisha aliamua kuajiriwa kama muosha vyombo katika mgahawa mmoja hivi ambapo pia alianza kujifunza kupika vyakula mbalimbali. Alipofikisha miaka 65 baada ya kuishi maisha ya kutofanikiwa kwa muda mrefu aliamua kustaafu.
kfc.jpg

Siku ya kwanza alipostaafu alikabidhiwa hundi ya kiasi cha dola 105 kutoka serikalini.Baada ya kupokea hundi hii aliona kama vile maisha yameshafikia mwisho kabisa na hawezi kuendelea kuishi maisha yenye furaha tena.Kutokana na hali hii aliamua kujiua kwani aliona kama vile maisha hayana thamani tena kuendelea kuyaishi.Kabla hajafanya hivyo aliamua kukaa chini ya mti na kuanza kuandika hati yake ya urithi(will),lakini badala ya kuandika hati yake ya urithi akajikuta ghafla anaanza kuandika mambo ambayo angeweza kuyatimiza katika maisha yake lakini hakuweza kuyafanikisha.

Baada ya kujiuliza maswali mengi sana akagundua kuwa kati ya vitu ambavyo angeweza kuvifanya kwa mafanikio sana ni kuhusiana na masuala ya mapishi kwani anayapenda na amekuwa anafanya kwa muda mrefu.

Ili kutimiza ndoto mpya aliyoipata siku hiyo aliamua kuchukua hatua haraka sana na akakopa dola 87 na akanunua kuku na baadhi ya viungo na akaanza kupika kuku na kutembea nyumba kwa nyumba akienda kuwauza katika maeneo ya mji wa Kentucky.Kumbuka alikuwa tayari na umri wa miaka 65 kwa wakati huo,lakini miaka 3 baadaye akiwa na miaka 68 Colonel Harland David Sanders alijikuta tayari ni bilionea.Hapa namzungumzia mwanzilishi wa kampuni ya Kentucky Fried Chicken(KFC) ambayo kwa sasa iko duniani kote katika nchi 86 na zaidi ya vituo 9,000.

Safari kuelekea mafanikio kwa kila mtu huwa ni tofauti sana lakini kuna mambo ambayo huwa yanafanana kwa watu wengi.Kuanzia siku ambayo umeamua kubadilisha maisha yako na kuanza kuishi ndoto yako hadi siku ambayo utafanikiwa kuitimiza kutakuwa kuna matukio mengi sana ambayo ni lazima uamue kuyashinda kila yanapojitokeza.

Ukiangalia maisha ya Sanders utagundua kuwa alikutana na matukio mengi sana ya kukatisha tamaa katika maisha yake na hakukuwa na namna angeweza kufanikiwa kuinuka tena kama asingechukua mwelekeo tofauti wa maisha yake.Matukio ya kufiwa na wazazi,kunyang’anywa mtoto,kufukuzwa kazi zaidi ya nne ndani ya mwaka mmoja ni matukio ambayo kama usipokuwa makini basi unaweza kuhitimisha kuwa haujaumbwa ili ufanikiwe na ukaamua kukata tamaa kabisa.Kuna watu wengi sana ambao wameruhusu matukio kama haya yasitishe ndoto zao kubwa ambazo zingeweza kuwafanya kuwa mabilionea leo.

Kuna watu kwa sababu ya kuondokewa na wazazi wao hawaoni tena kama wanaweza kufanikiwa maishani,kuna watu kwa sababu ya kufeli mtihani wanaona kama vile mwisho wa maisha ndio umefika,kuna watu kwa sababu ya kuachwa na wapenzi wao wanaona haitawezekana tena kuishi maisha ya furaha tena,kuna watu kwa sababu waliwahi kuanzisha biashara huko nyuma na wakafeli ama wakatapeliwa wanaona hawawezi kuinuka tena.

Somo kubwa toka kwa sanders ni kuwa,bila kujali umeshawahi kufeli mara ngapi na katika mambo gani;bado unayo fursa kubwa sana ya kuweza kufanikiwa.Usikate tamaa,Usikubali uishie njiani kabla haujaiona hatima yako kubwa.You can Rise Again(Unaweza Kuinuka Tena)

Jambo la pili ni kuwa kila wakati tunapojikuta tumeishiwa nguvu za kuendelea mbele na kutamani hata kuondoka duniani,tunatakiwa tujiulize tena-Hivi hakuna kitu ambacho ninacho na kinaweza kubadilisha maisha yangu?-Ukweli ni kuwa kila wakati unapojikuta kuwa mambo yameenda vibaya na ni kama hakuna tumaini tena,unatakiwa kujiuliza swali hili na upate majibu yake.Kila mtu anacho kitu ambacho kama akiamua kukitumia basi kitamfanikisha sana katika maisha yake,na mara nyingi kitu/uwezo huu unaweza kuonekana na mdogo na wa kawaida sana na unaweza kuudharau.

Hebu fikiria kuwa uwezo wa “kupika” ndio umemfanya sanders awe bilionea,vipi kama angeugundua miaka mingi akiwa kijana.Hebu tulia kidogo kwa dakika moja kabla haujaendelea,jiulize-“Hivi nina uwezo gani wa kipekee ambao unaweza kunifanikisha katika maisha yangu?”

Jibu la swali hili ni muhimu sana kuelekea mafanikio yako,unaweza ukawa na jibu zaidi ya moja,lakini ukijiuliza kwa mara nyingine tena utashangaa yanapungua hadi unapata jibu moja mtu.Siku zote usiangalie umaarufu wa kitu bali angalia uwezo wa kipekee ulionao juu ya jambo fulani.Hata kama leo linaonekana ni jambo lisilo na mvuto,kama ukiamua kutumia nguvu,muda na rasilimali zako kujifunza na kuongeza ujuzi kila siku,utashangaa maisha yako yatakavyobadilika.

Jambo la tatu na la muhimu sana ni kuwa,hakuna kuchelewa katika mafanikio-“There is never too late when it comes to success”.Kuna wakatim unaweza kufika kutokana na umri wako ama ukaona kama umejaribu mara nyingi sana na haujafanikiwa basi ukaona haiwezekani tena kufanikiwa.Hebu fikiria kuwa Sanders alikuwa bilionea baada ya kustaafu,nawe pia katika umri au hali yoyote ile uliyonayo unaweza kufanikiwa kufikia kilele cha ndoto yako.Usikubali jambo lolote katika maisha yako likukatishe tamaa,kumbuka kuwa unao uwezo wa kuinuka,kuanza upya na kubadilisha maisha yako kabisa.

Sina shaka kuwa wewe ni mmoja wa watu utakayetengeneza historia katika maisha yako utakapofanikiwa kuitimiza ndoto yako katikati ya vikwazo vinavyokuzunguka.Kama unaamini katika ndoto yako na unajua kuwa utafanikiwa siku moja sema-“Yes I Can”(Ndio naweza).Tafadhali usiache kunishirikisha mafanikio yako na hatua unazopiga kutokana na mambo haya unayojifunza.

Kumbuka kuwa ndoto yako Inawezekana,
KFC Wonders
 
You consider Colonel Sanders as a role model? What a joke!
 
Akiwa na miaka 5 alifiwa na baba yake. Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikuwa kapoteza ajira 4.

Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka kati ya 18-22, alikuwa msimamizi wa njia za reli lakini alishindwa akafukuzwa.

Baadaye alijiunga na Jeshi lakini akafukuzwa pia. Akatuma maombi shule ya sheria ila hakupata nafasi, akawa muuzaji wa Bima lakini alishindwa pia.

Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa baba,akiwa na miaka 20, mke aliamua kuondoka na mtoto.

Hatimaye akapata ajira kama mpishi na mwosha vyombo wa mgahawa mdogo.

Alishindwa hata katika jaribio la kumpata mwanaye, na kuamua kumshawishi mkewe kurejea nyumbani. Akiwa na miaka 65 alistaafu ajira yake ya kupika na kuosha vyombo katika mgahawa.

Baada ya kustaafu alipata mafao yake kutoka serikalini dola 105 $, kama Tsh 231,000/=. Alidhani serikali imemuona kama hajiwezi kabisa.

Akafanya jaribio la kujiua, akiamini hakuna thamani ya kuishi tena, na kwamba ameshashindwa sana. Hakufanikiwa hata katika jaribio lake hilo.

Akaamua kukaa chini ya mti na kuandika matarajio yake, ila aliona ayaandike yale aliyoyakamilisha tayari.

Akagundua kuna mambo mengi hakuyafanya bado. Akagundua lipo jambo moja ambalo anaweza kulifanya vizuri zaidi kuliko mtu yeyote yule anayemfahamu.

Ilikua ni namna gani ya Kupika, Akaamua kuchukua dola 87 $ kama Tsh 191,400/= kutoka kwenye Hundi yake ya pensheni na kununua kuku.

Akawakaanga kwa kuwachanganya na viungo anuai akapata mchanganyiko wa aina yake (unaovutia).

Akaamua kupita mlango kwa mlango kuwauza kwa majirani zake huko Kentucky. Mchanganyiko ule ukapendwa sana na akaamua kuanzisha mgahawa wake uitwao Kentucky Fried Chicken (KFC) uliokua ukitengeneza mchanganyiko wa kuku alioubuni.

Hatimaye biashara yake ikakua na akafungua migahawa mingi ya KFC nchini Marekani. Mchanganyiko ule ukazidi kupendwa na kutanua wigo wa biashara yake.

Huyu si mwingine ni Colonel Harland Sanders mwanzilishi wa migahawa ya KFC duniani.

Licha ya kustaafu akiwa "fukara wa kutupwa" katika umri wa miaka 65, lakini hadi wakati anafariki (1980) akiwa na umri wa miaka 90 alikuwa katika orodha ya mabilionea wakubwa nchini Marekani.

Kwa sasa migahawa ya KFC imeenea kote duniani katika nchi 123, Tanzania ikiwemo, na ni mgahawa wa pili mkubwa ulioenea zaidi duniani baada ya migahawa ya McDonald's.

Mwaka 2013 migahawa ya KFC ulifanya mauzo ya dola Bilioni 23 sawa na Tsh Trilioni 50. Maana yake ni kwamba mauzo ya KFC kwa mwaka mmoja ni sawa na bajeti ya Tanzania kwa miaka miwili.

Kumbuka muasisi alikua FUKARA hadi uzee wake (miaka 65) na akadhani ameshindwa maisha. Akajaribu kujiua.

Lakini baada ya kutafakari akaona bado ana nafasi ya kujaribu tena. Akajaribu japo katika umri wa uzee, na hatimaye Mungu akamfanikisha. Akawa BILIONEA MKUBWA sana nchini Marekani.

Je, wewe umekata tamaa ya maisha?

Ulitamani kusoma lakini ukashindwa kwa kukosa ada?

Umesoma lakini umekosa ajira? Miaka inapita na unaona wenzio wanaajiriwa wewe uko tu nyumbani? Je Umejaribu biashara lakini kila wakati unapata tu hasara?

Unahisi kukata tamaa? Unahisi Mungu amekuacha?

Usikate tamaa. Mungu hajakuacha. Jipange tena na uanze upya. Haujakawia bado. Kitu kikubwa ni "Mtazamo" (Attitude).

Usikate tamaa. Haijalishi mambo ni magumu kiasi gani. Una kila kitu cha kukufanya ufanikiwe.

Amua kubadili mtazamo ili kubadili Stori ya maisha yako. Inawezekana, anza sasa!

fast-food-colonel-sanders.jpg

Colonel Harland Sanders, mwanzilishi wa KFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni fuambo linahitaji sana wa kulifumbua uwoga wetu ndio umasikini wetu

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom