Mwanzilishi wa apple afariki dunia. Mastaa kibao wamlilia.. Ungana nami uone wanasemaje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanzilishi wa apple afariki dunia. Mastaa kibao wamlilia.. Ungana nami uone wanasemaje!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jozzb, Oct 6, 2011.

?

UNADHANI KIFO CHA STEVE JOBS KITAATHIRI UTENDAJI WA KAMPUNI YA APPLE?

Poll closed Oct 16, 2011.
 1. NDIYO

  57.1%
 2. HAPANA

  28.6%
 3. SIELEWI

  14.3%
 4. LABDA

  0 vote(s)
  0.0%
 1. j

  jozzb Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [​IMG] Mwanzilishi wa kampuni ya Apple Steve Jobs amefariki dunia leo baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani na hatimaye kusalimu amri kwa miaka minane. Rambirambi kibao zimeanza kumiminika dakika chache baada ya .
  KWA HABARI ZAIDI, <<BOFYA HAPA>>
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,084
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  RIP 2.jpg


  R.I.P mkuu, kwa kweli kansa ni noma.
   
 3. j

  jozzb Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni kweli amefariki lakini jina lake halita fariki milele
   
 4. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ninyi watu mna matatizo makubwa sana.Hivi wewe kama mtanzania inakusaidia nini.Badala ya kuleta mijadala inayoweza kusaidia nchi yetu unaleta upuuzi huu.Ovyoo.
   
 5. j

  jozzb Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kila kitu kina nafasi yake.laiti ungejua usingethubutu kuandika hayo. Nashindwa namna ya kukusaidia.ila nadhani ni heri basi kila mmoja abaki na uelewa wake
  mimi binafsi namkumbuka kwa yafuatayo

  1 kuanzishwa kwa mac computer

  2. Ipod,itune na vingine vingi


  >>> heri huyu alieanzisha vitu kama hivi kuliko mtanzania fisadi
   
 6. j

  jozzb Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  !!!!!!!
   
Loading...