Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

Ukiwa Rais hautoi Ushauri ?

Ukizingatia tatizo kubwa sana linalowakumba / litakalowakumba viongozi wote duniani ni hili tabaka la chini la have nots ambalo ndio kubwa na linazidi kukua kila siku..., mwisho wake ni hatari hata kwa usalama wa walionazo
Aisee Kuna majitu yamebakia kulaumu tu hii Nchi
 
Kuna ubaya gani boda boda kuwa na mikataba yenye kulinda maslahi yao?ninyi mawakala wa Chadema ama muwe na vitambulisho vya machinga au TIN la sivyo mnawekwa korokoroni
Wewe boya, hiki kitu ndicho kinafanyika zaidi ya miaka 5 sasa. Rais anakuja kueleza jambo ambalo linafanywa zaidi ya miaka 5, hiyo ni akili? Waeleze wenzio kuwa wamshauri vzr Mh. Rais....
 
Acha ubinafsi wewe. Hivi hali iliokuwa barabarani unaijua mkuu. Either gari Huna au wewe mwenzetu 30,000 ni ndogo sana kwamba hata kila wiki ukikatiwa mkeka mmoja sio hoja kwako.

Asingeshusha hizo machafuko yangeweza kutokea. Hali ilikua mbaya sana huku barabarani.
Kuweni na nidhamu ya brbr
 
Sio dish linazingua upepo ukizidi signal zinashuka intensity. Signal zinakua poa kwenye uzinduzi wa majengo, uteuzi lakini kwenye mambo magumu streng transponder symbol rate inayeyuka kabisa
 
Serikali yake inunue hizo pikipiki agawe kwa hao bodaboda ili ziwe zao lakini hizi zetu atuache tu tuamue kipi bora.
 
Kuna ubaya gani boda boda kuwa na mikataba yenye kulinda maslahi yao?ninyi mawakala wa Chadema ama muwe na vitambulisho vya machinga au TIN la sivyo mnawekwa korokoroni
Enzi onevu ilisha pita, ni wakati wa kufungua fursa
 
Kuna muda naona ccm inatawala kwasababu ya akili nyingi za watanzania..
Watanzania wengi elimu na kujielewa kwao ni sehem ndogo sana.
Ndo maana kampeni za ccm zimejaa ahadi za kitoto yaan danganya toto ila ndo zinazokomba kura nyingi.
Ila ukija na ahadi kuwa ndege hazina faiada yaan mtu hadi aunganishe dot aelewe hazina faida vipi wakati tumezipokea kwa mbwebwe haezi kukuelewa.
Nakumbuka hata kijijini zamani naamin hadi leo zipo nikuwa vyama pinzani wanahongwa huko njee ili wakipata Uraisi wauze nchi waondoke zao. Propaganda kama hizo ndo zinafanya kweli watu maskini na elimu ya kujitambua duni kuendelea chagua ccm.
Ila utakuta chadema wanalipuuzia hilo wanadhani kuongea nondo kali kali ndo kupata wapiga kura .Kumbe wanao wapa hizo nondo kichwan hakuna kitu.
Kwahiyo ni lazima Raisi aongelee mambo ambayo anawagusa moja kwa moja watu wachini.
Tatizo chadema hutaman Raisi aongelee Katiba mtu wakati Raisi anajua fika hiyo ni hitaji la watu wenye elimu na wanaojua umujimu wake ila wale wanaopendwa itwa wanyonge yaaan hawajua lolote ni wakuswaga tuu. We mradi uje upige porojo na utumbue mtundo furaha yao
 
Kifo ni cha kila mtu mkuu. Unaposhangilia kile cha JPM kumbuka kipo cha kwako ambacho wala hujui kitakufika lini na wapi.

Huyu unayemtukana akiwa keshakufa alifia hospitalini mikononi mwa madaktari, wewe unajua utafia wapi?, punguza kufuru za kipumbavu haya unayoandika yanaweza kukutia mkosi.

Chunga sana, punguza utoto unaoonekana kwenye maandiko yako.ni kweli kabisa lakini kuna binadamu wengine wakifa tena siyo kufariki inakuwa ni lazima iwe shangwe na sherehe kwa waliobaki hata mimi nikifa kama maisha na matendo yangu yatasababisha waliobaki wafanye karamu wacha wafanye tu. Mara nyingi utaona mtu akifariki reaction ya waliobaki itakuonyesha huyu kiumbe alichukuliwaje na binadamu wenzake wengine hulia kama alivyolia sabaya kumbe si majonzi ya kifo ni kilio cha kuchanganyikiwa figa limeporomoka
 
Nyie wapuuzi mliekuwa mnamtukuza mtu Kama ni mungu, na kufikia wakati kutamka kuwa eti atatawala milele hakuna mbadala wake, nahisi hamkujua kuwa maisha na uhai miliki yake ipo kwa muumba tu,
Aya Leo kiko wapi, kufa kila mtu atakufa Chief, ila nyinyi mlihisi bwana mkubwa ye ataishi milele,
hakika ungeliweza kuzijua siku zako zilizobaki duniani, ungelizitumia kumjibu mtu na kuandika chochote kwa staha na hekima,

ndugu yangu, najua unajua nawe ni maiti wa wakati wowote, ya nini kushupalia mambo yatishao, ambayo ayajuaye si mwanadamu ila ni aliyekuumba..!

Basi lilelile ulilosafiria wewe leo, wengine limewaua kwa ajali, na asubuhi kulipokucha, walikuwa wanamipango yao kama wewe, na wengine pengine, walifanya na dhihaka kama hizi hizi kabla hawajapata dhahama hiyo,

mkuu, Nakuombea sana, Mungu akupe kuona japo kidoogo tu ulivyodhaifu mbele zake kiasi kwamba, kwa chakula au maji unayokunywa yanaweza kuondoa kibri cha uzima wako Kama unahekima japo kidogo, utaacha kutania kazi ya Mungu

kifo ni cha watenda mema na watenda dhambi, unalinga na kujiona wewe ni waamaana kwa sababu u mwema kuliko wote?

Ila, ni lazima ukumbuke aridhi unayoikanyaga, imemeza wengi wema na watakatifu kama ulivyowewe!!
 
Back
Top Bottom