Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

Jiji la Mwanza likijiandaa kumpokea Mheshimiwa Rais Mama yetu SSH ndio uongozi umekurupuka tangu juzi kuzibua mitaro, kuondoa taka na mchanga, kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote...
Si mkaseme pale mbere,rais mwenyewe hajui km ni rais,anakodoa tu km kobe
 
Wakuu naona tamko la Mweshimiwa Rais jana limepadisha samani ya bitcoin
IMG_20210614_144228.jpg
View attachment 1818518
 
Saa 16:27 hii nawasikia wanasiasa wakijipendekeza jukwaani, muda wote wanaumaliza wao, naona wanataka ahutubie mpaka saa 1 za usiku
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom