Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Kawaida wafanyabiashara machimboni hawasafirishi pesa au dhahabu kwa escort ya polisi.
Sababu ni moja, hao polisi kwanza ni ngumu kuwaamini na utakapoonekana na msafara wa polisi mpaka nyumbani au ofisini utakuwa umetuma ujumbe kuwa hela unazo.
Kinachoweza kuwa kimetokea ni hao wafanyabiashara kushikwa kwa kosa la kutokuwa na escort.
Ila hili jambo linazungumzika, ilikuwa au ni fine alafu mnaomba hao askari wanawapa escort.
Nadhani kwenye mazingira hayo askari kuwapa hela kidogo ya bia na mafuta ni kawaida sana!
Askari wanaweza kuwa na kosa la kutowapiga fine labda na kutoshirikisha viongozi wakubwa!
Hayo mengine ni mbwembwe za kutaka kuwafilisi hao jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app

Nchi kama 4
Swali kwanini walitaka kuwapa polisi hela hao?au ilikuwa hela ya ulinzi?
Hebu niweke Sawa tatizo ni nini
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app