Mwanza: Wanaodaiwa kusafirisha dhahabu wapandishwa kizimbani, wasomewa makosa 7

Kawaida wafanyabiashara machimboni hawasafirishi pesa au dhahabu kwa escort ya polisi.
Sababu ni moja, hao polisi kwanza ni ngumu kuwaamini na utakapoonekana na msafara wa polisi mpaka nyumbani au ofisini utakuwa umetuma ujumbe kuwa hela unazo.

Kinachoweza kuwa kimetokea ni hao wafanyabiashara kushikwa kwa kosa la kutokuwa na escort.
Ila hili jambo linazungumzika, ilikuwa au ni fine alafu mnaomba hao askari wanawapa escort.

Nadhani kwenye mazingira hayo askari kuwapa hela kidogo ya bia na mafuta ni kawaida sana!
Askari wanaweza kuwa na kosa la kutowapiga fine labda na kutoshirikisha viongozi wakubwa!

Hayo mengine ni mbwembwe za kutaka kuwafilisi hao jamaa
Nchi kama 4
Swali kwanini walitaka kuwapa polisi hela hao?au ilikuwa hela ya ulinzi?
Hebu niweke Sawa tatizo ni nini

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida wafanyabiashara machimboni hawasafirishi pesa au dhahabu kwa escort ya polisi.
Sababu ni moja, hao polisi kwanza ni ngumu kuwaamini na utakapoonekana na msafara wa polisi mpaka nyumbani au ofisini utakuwa umetuma ujumbe kuwa hela unazo.

Kinachoweza kuwa kimetokea ni hao wafanyabiashara kushikwa kwa kosa la kutokuwa na escort.
Ila hili jambo linazungumzika, ilikuwa au ni fine alafu mnaomba hao askari wanawapa escort.

Nadhani kwenye mazingira hayo askari kuwapa hela kidogo ya bia na mafuta ni kawaida sana!
Askari wanaweza kuwa na kosa la kutowapiga fine labda na kutoshirikisha viongozi wakubwa!

Hayo mengine ni mbwembwe za kutaka kuwafilisi hao jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok.....hata mm sioni kesi hapo zaidi ya Hao askari kutemeshwa kazi
Ila hao askari tamaaa sana zimewaponza sahv walikuwa wanaongea mambo mengine

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ipi unayoisimamia kama hutaki haki ya msingi ya rasilimali za taifa kupokwa na wahuni wachache!!? Hao polisi wanakesi ya rushwa (kuomba na kupokea) sasa haki ipi unayoitaka zaidi wa wao kupelekwa mahakamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwana CCM asiyepokea rushwa!

Au kwa vile wale askari walijichanganya ndiyo maana mmeamua kuwapatiliza?

Jiwe mwenyewe kawashauri wapokee japo buku 5 za kubrashi viatu,we unajifanya mzalendo?
Ina maana we ni mzalendo kuliko jiwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida wafanyabiashara machimboni hawasafirishi pesa au dhahabu kwa escort ya polisi.
Sababu ni moja, hao polisi kwanza ni ngumu kuwaamini na utakapoonekana na msafara wa polisi mpaka nyumbani au ofisini utakuwa umetuma ujumbe kuwa hela unazo.

Kinachoweza kuwa kimetokea ni hao wafanyabiashara kushikwa kwa kosa la kutokuwa na escort.
Ila hili jambo linazungumzika, ilikuwa au ni fine alafu mnaomba hao askari wanawapa escort.

Nadhani kwenye mazingira hayo askari kuwapa hela kidogo ya bia na mafuta ni kawaida sana!
Askari wanaweza kuwa na kosa la kutowapiga fine labda na kutoshirikisha viongozi wakubwa!

Hayo mengine ni mbwembwe za kutaka kuwafilisi hao jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,polisi wetu siyo waaminifu kivile... na sababu mnazijua. Kuna matukio mengi yanayothibitisha jambo hilo.

Ktk nchi hii huwezi kuwa na hela nyingi ama madini ya vito ukawaomba polisi wetu wakupe ulinzi. Maisha yako yatakuwa hatarini mno.
Uadilifu wa polisi wetu ni mdogo mno. Tena ueledi, uelewa,na pia malezi yao si mazuri sana.

Wakuu wetu huwa wanawatetea sana hata kama makosa yao ni dhahiri,hii pia inawapa kiburi na kujisahau,matokeo yake siyo rahisi maelezo ya polisi wetu kuaminika kwa sisi raiyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww pia ni askari na ndo maana kuongea na ww tukaelewana ni ngumu ,ujue ya kuwa nyie askari japo siyo wote huwa mnaona ya kuwa nyie ni untouchable mpo huru kufanya chochote bila kuwajibishwa.

Kwahy ww huwezi kuona ouvu wa askari wenzako,hapo ni kesi ya nyani kumpelekea tumbili!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo maingu kaonea Sana watu mjini ngoja nae apate joto
 
Ww pia ni askari na ndo maana kuongea na ww tukaelewana ni ngumu ,ujue ya kuwa nyie askari japo siyo wote huwa mnaona ya kuwa nyie ni untouchable mpo huru kufanya chochote bila kuwajibishwa.

Kwahy ww huwezi kuona ouvu wa askari wenzako,hapo ni kesi ya nyani kumpelekea tumbili!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo maingu kaonea Sana watu mjini ngoja nae apate joto ya jiwe
 
Alafu wakati mwingine yeye anawasifia kuwa watakao ua majambazi wasipelekwe mahakamani, hapa atakuwa amepata Picha kamili walivyo baadhi ya askari kama Zombe asingepelekwa mahakamani tungejuaje issue yao
 
Niwapongeze vijana wanaompa rais taarifa sahihi na yeye bila kuchelewa kuzichukulia hatua stahiki kwa wakati.
Ingawaje inaniuma kuona baadhi ya mambo viongozi wa chini wangetosha kuchukua hatua kwa wakati, lakini wanaacha mpaka aje rais ndio achukue hatua.
Rejea ziara mbalimbali za mheshimiwa rais, inafika mahali anampigia simu katibu mkuu wa wizara aende pale alipo akatatue tatizo, tena hiyo ni baada ya wananchi kufunga barabara, kuusimamisha msafara, na kueleza kero zao.
Unajiuliza viongozi wa eneo husika, mkurugenzi, dc, rc hawana namba za katibu mkuu huyo, au kuna kutunishiana misuli baina yao ndio maana wanaona ngoja aje mwenye nchi amwite ndio ataenda?
Kiukweli sitoshangaa, kesho tunapiga kura, leo mtu anatumbuliwa. Sitoshangaa.
 
Bado uzalendo haujakaa sawa pamoja na mazuri yote ya awamu ya 5 tubadilike
 
Mahakamani ni formality tu!
Kesi alishaiamua rais.
Huyu hakimu wa kupingana na jiwe atatokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata kupelekwa mahakamani ni kuheshimu utawala wa sheria..watu wamekutwa na dhahabu na hela cash..na hao waliowasindikiza ambao wametumia mali za serikali kujinufaisha..ningekua mm hata mahakamani wasingepita wangenyooka magereza tu tena baada ya kuwatemesha mzigo wote waliochukua
 
Back
Top Bottom