Mwanza: Wana-CHADEMA 19 wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu Kanisani

Wanachadema mnajiona malaika
Unaona? Mbona unanibambikizia kesi? Inaonekana tabia ya ubambikizaji iko damuni mwenu! Nani kakuambia mimi ni Chadema? Ni kweli sijawahi kuipenda CCM asilani...sikuipenda CCM kabla ya ujio wa vyama vingi, sikuipenda CCM baada ya kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi na hadi leo siipendi CCM, period. Sasa jiulize, je kwa huo msimamo, moja kwa moja nakuwa Chadema?
Narudia tena siko CCM na siko Chadema.
 
Sina la kukujibu.
Kuna uzi flani kuna mtu nilimjibu kuwa mm sina chama akabaki kunitukana na kusema mm n ccm.
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Nani ni mlalamikaji...wakati askofu wa jimbo kasema hakukuwa na fujo? Sirro na Samia mna shida kwenye vichwa vyenu.....Huyu mama sasa anatuletea mambo ya kwao huko Makunduchi. Sirro na Samia, kumbukeni Magufuli aliingilia kanisa....na nyiye naona mmeshaelekea huko huko.
 
Huyo namba tatu James Mayala ana undugu na Pascal Mayalla?
Yes atakuwa ni ndugu yangu. Koo za Kisukuma ni kubwa, mababu zetu, walikuwa na wake hadi 20, watoto ndio usiseme !, watoto wengine, biological father ni wa wachunga ng'ombe, lakini maadam amezaliwa na mke wa mwenye boma, anatumia jina la mwenye boma, ndio maana unakuta kuna Wasukuma wana tabia za ajabu ajabu tofauti na Wasukuma halisi !.
P
 
Back
Top Bottom