Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,661
- 12,283
Nasema wangeondolewa uchi ili huenda 2025 akili zao zingekuwa active na sio kuwaza ukhanithini wa matumbo yao na vijiposho uchwara.
Acha waone mitano tena. Maana walishiriki kuiba kura. Hsmna jiwe litaacha kugeuzwaWalimu wahamishwa kwa nguvu Mwanza
-
Halmshauri ya Jiji la Mwanza imewahamisha kwa nguvu kwenye nyumba walizokuwa wanakaa walimu wanne wa shule za sekondari Mlimani, Mapango na Pamba za Jiji hilo ili kupisha ukarabati unaotekelezwa na Serikali.
Zoezi la kuwaondoa walimu hao kwenye nyumba hizo limefanyika baada ya kukataa kuhama kwa hiari na kudai hawajalipwa fedha za kufunga mizigo.
Zoezi hilo limefanyika kwa kusimamiwa na askari mgambo.
Akisimamia zoezi hilo jana kwa niaba Mkurugenzi wa Jiji, Kiomoni Kibamba, Ofisa Mtendaji wa kata ya pamba, Jonas Mugisha amesema walimu hao wameondolewa kwa nguvu baada ya kukaidi amri ya kuhama kwa hiari kupisha ukarabati wa nyumba hizo.
Amesema walimu hao walipewa barua iliyokuwa ikiwataka kuhama kwenye nyumba hizo ili ziweze kukarabatiwa pamoja na shule hiyo kwani serikali imetowa Sh milioni 540.
Mmoja wa walimu hao, Abel Dendwa akizungumza kwa niaba ya walimu hao amesema inasikitisha kuona mfanyakazi wa umma anafanyiwa vitendo vya unyanyasaji nakwamba ni vema serikali ikaingilia kati suala hilo ili haki iweze kutendeka ikiwamo ya kulipwa fedha zao za kufunga mizigo.
Mtanzania
Safi sana, wachapwe na bakora kabisaaaWalimu wahamishwa kwa nguvu Mwanza

Mitano teeeeenaaaaaaaa
Mnataka mtendewe haki wakati mlizuia haki ya watanzania ya kuchagua viongozi wanaowataka katika uchaguzi mkuu kwa ninyi waalimu kusimamia wizi wa kura?
Serikali ya “wanyonge” shurti kwa mtutu
Ccm watendeeni walimu mtakavyo hao ni wenuNyumba ilipokuwa mbovu mlisema ooh tunaishi nyumba za mkoloni,nyumba zimejaa mapopo na kunguni walimu hatuthaminiwi...hela imekuja ya ukarabati sasa ,kutoka hamtaki kupisha ukarabati, kufunga Tu mizigo yako yenyewe uhame Kwa mda na penyewe mpak ulipwe ....... Kimsingi Tu mlitakiwa mtolewe Kwa bakora za kutosha ....
Walimu wahamishwa kwa nguvu Mwanza
-
Halmshauri ya Jiji la Mwanza imewahamisha kwa nguvu kwenye nyumba walizokuwa wanakaa walimu wanne wa shule za sekondari Mlimani, Mapango na Pamba za Jiji hilo ili kupisha ukarabati unaotekelezwa na Serikali.
Zoezi la kuwaondoa walimu hao kwenye nyumba hizo limefanyika baada ya kukataa kuhama kwa hiari na kudai hawajalipwa fedha za kufunga mizigo.
Zoezi hilo limefanyika kwa kusimamiwa na askari mgambo.
Akisimamia zoezi hilo jana kwa niaba Mkurugenzi wa Jiji, Kiomoni Kibamba, Ofisa Mtendaji wa kata ya pamba, Jonas Mugisha amesema walimu hao wameondolewa kwa nguvu baada ya kukaidi amri ya kuhama kwa hiari kupisha ukarabati wa nyumba hizo.
Amesema walimu hao walipewa barua iliyokuwa ikiwataka kuhama kwenye nyumba hizo ili ziweze kukarabatiwa pamoja na shule hiyo kwani serikali imetowa Sh milioni 540.
Mmoja wa walimu hao, Abel Dendwa akizungumza kwa niaba ya walimu hao amesema inasikitisha kuona mfanyakazi wa umma anafanyiwa vitendo vya unyanyasaji nakwamba ni vema serikali ikaingilia kati suala hilo ili haki iweze kutendeka ikiwamo ya kulipwa fedha zao za kufunga mizigo.
Mtanzania
Lea mara ya kwanza kuwa na mawazo ng’aavuPesa za kufunga mizigo? hiyo haipo kwenye bajeti kwanza walimu mnaongoza kwa kulipwa vizuri.
Ndio wavune walichopanda kwa Watanzania...mamburula sanaWanawahitaji kipindi cha uchaguzi
Kuna taarifa Zingine za Kipunguani kwelikweli, Hivi hiyo Shule ina Waalimu wanne tu au Wapo Wengine ambao wamepanga mitaani.Mitano teeeeenaaaaaaaa
Ndio wavune walichopanda kwa Watanzania...mamburula sana
😂😂Mnataka mtendewe haki wakati mlizuia haki ya watanzania ya kuchagua viongozi wanaowataka katika uchaguzi mkuu kwa ninyi waalimu kusimamia wizi wa kura?