Mwanza: Walimu wadaiwa kuhamishwa kwa nguvu

Jamaa maisha yao ni ya kubahatisha tu lkn wana kimbele mbele kweli kisa kudanganywa kwa kofia na t-shirt za kijani
Ni muda sasa wapambane na hali zao,wasije kutulilia humu,hatuna cha kuwasaidia zaidi ya kuwa kumbusha watumie akili zao kwa manufaa.
 
Serikali ya “wanyonge” shurti kwa mtutu 🤣🤣🤣
Walimu wahamishwa kwa nguvu Mwanza - Halmshauri ya Jiji la Mwanza imewahamisha k ( 562 X 750 ).jpg
 
Ni muda sasa wapambane na hali zao,wasije kutulilia humu,hatuna cha kuwasaidia zaidi ya kuwa kumbusha watumie akili zao kwa manufaa.
Walisha pewa chao mara tu baada ya kukamilisha misheni
 
Wanaogopa ikikarabatiwa hawataweza kurudi humo
Na wakirudishwamo watazidi kushindwa kutumia mbongo zao kwa manufaa ya taifa acha wajifunze maana ya haki na kutokubali kutumiwa kwa manufaa ya wachache.
 
Walimu wengi wanafikra duni sana hawajui kujiongeza wao ni malalamiko tuu na kupenda mteremko. Wafurumushwe tens ikibidi walemboko wanazuiaje maendeleo agaaa
 
Safi Sana! Hamisha kwa lazima wakigoma, charaza bakora kama ilivyozoeleka! nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwani umeambiwa kuwa wana kaa bure?inawezekana wewe siyo mtumishi hivyo vigezo vya kupewa nyumba huvijui.

Inawezekana nikawa na uzoefu kuliko wewe. Tusianze ligi hapa sio mahala pake.
Turudi kwenye hoja, assume walikuwa wanalipa japo najua hawalipi, je wakiambiwa nyumba zinatakiwa kukarabatiwa kwahiyo walipaswa kugoma kupisha ukarabati? Taarifa inasema walipewa barua wakagoma kuondoka kwa hiyari kwahiyo ungeshauri Serikali ifanyeje ili ukarabati uendelee?

Kuna watanzania ni watu wa kulalamika tu, hata akienda toilet anatoka analalamika, akitoka kuoga analalamika, mvua ikinyesha analalamika pengine analaumu kabisa serikali.
Ningekuwa na mamlaka hao walimu wangelipa posho za kukodi askari waliotumika kwenda kuwaondoa kwenye hizo nyumba.
 
Wasio lalamika ni wa mtaa wa kijani pekee
 
Mtumishi kuhamishwa nyumba ya serikali unaanza kulialia ni kukosa akili.
Nyumba isiyokuwa yako unaanzaje kulalamika?
Kwani nawe mtumishi au unamsemea,ana miaka Manisha magumu,anaenda wapi kupisha ukarabati na je bado itamhusu?
 
Eti serikali iingilie kati wakati ndio hiyohiyo iliyowaondoa...
 
Walimu wahamishwa kwa nguvu Mwanza
-
Halmshauri ya Jiji la Mwanza imewahamisha kwa nguvu kwenye nyumba walizokuwa wanakaa walimu wanne wa shule za sekondari Mlimani, Mapango na Pamba za Jiji hilo ili kupisha ukarabati unaotekelezwa na Serikali.

Zoezi la kuwaondoa walimu hao kwenye nyumba hizo limefanyika baada ya kukataa kuhama kwa hiari na kudai hawajalipwa fedha za kufunga mizigo.

Zoezi hilo limefanyika kwa kusimamiwa na askari mgambo.

Akisimamia zoezi hilo jana kwa niaba Mkurugenzi wa Jiji, Kiomoni Kibamba, Ofisa Mtendaji wa kata ya pamba, Jonas Mugisha amesema walimu hao wameondolewa kwa nguvu baada ya kukaidi amri ya kuhama kwa hiari kupisha ukarabati wa nyumba hizo.

Amesema walimu hao walipewa barua iliyokuwa ikiwataka kuhama kwenye nyumba hizo ili ziweze kukarabatiwa pamoja na shule hiyo kwani serikali imetowa Sh milioni 540.

Mmoja wa walimu hao, Abel Dendwa akizungumza kwa niaba ya walimu hao amesema inasikitisha kuona mfanyakazi wa umma anafanyiwa vitendo vya unyanyasaji nakwamba ni vema serikali ikaingilia kati suala hilo ili haki iweze kutendeka ikiwamo ya kulipwa fedha zao za kufunga mizigo.

Mtanzania
WALIMU: BADA YA KURUBINIWA...shemeji unatuachaje?

SHEMEJI : nimewaletea mwalimu mwenzenu, chuma kweli kweli na mke wake ni mwalimu, mambo yenu yatakuwa mpwito mpwito;

Walimu/MATAGA Kura zote kwa shemeji.

shemeji: watendaji wake wamewachapa waalimu, hawajapandishwa madaraja wala mishahara, na wanahamishwa nyumba bila hiari.

SISI: Mitano tena
 
Back
Top Bottom