MWANZA: Wafanyabiashara wawili wafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu uchumi na kuleta hasara ya bilioni 10 kwa Serikali

Wafanyabiashara wawili, Antonia Zacharia na Timoth Kilumile wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 10 kwa kujipatia mali za Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU)


View attachment 677911 MWANZA

Wameamua kukamatana na wenzao, nadhani hawa watakuwa wale wachangiaji, let wait time will tell
 
Nyanza bottle hapo sina uzoefu
Siyo Nyanza bottles na wewe,, hiki ni chama kikuu cha ushirika cha Nyanza (Nyanza Co-operative Union). Mali zake ziligawanwa na wanachama wajanja waliokuwa viongozi wa hicho chama kwa kuwatumia ndugu zao. Wafungwe tu na wafilisiwe!!
 
Mkuu kichwani kuko vzr au uliwahi kukumbwa na uendawazimu? ulichoandika hakipo kabisa ktk dunia hii. Tangu lini CDM ikasafisha mtu? imekuwa Mkurugenzi wa mashtaka au Pccb? kama unatumia dawa usiache, tumia kama dr wako alivyokuelekeza.
......labda dawa unatumia wewe ? Kawaulize jamaa zako chadema kuwa ilikuwaje mtu waliye mnadi fisadi nchi nzima wakaja kum'pa kiti cha kugombea urais !?
 
Back
Top Bottom